Tuwataje Wabunge wetu 75

Tuwataje Wabunge wetu 75

h kigwangala , j nkamia na huyu mama wa mipasho wa same oooh kilango anna na kuna jembe lao kamati ya ufundi prof long water
 
Ni hoja nzuri kuanza kuona na kuwapima wawakilishi wetu ili kuwatofautisha na wale waojiwakilisha wenyewe, vyama vyao au matakwa mengine tofauti na ya wapiga kura wao. Kwa kuwa Rasimu ya Katiba inapendekeza kila mkoa wa Tanzania bara uwe jimbo moja la uchaguzi, itakuwa vyema kuwalinganisha wabunge wanaotoka mkoa mmoja. Kwa mfano, kwa mkoa wa Mwanza, iwapo wabunge wote wa sasa wataingia katika kinyang'anyiro hicho na tunahitaji wawili tu kati yao, nani anatufaa kati yao? Kwa kundi la wanaume....Je ni Ngeleja, Dr. Limbu, Machemuli, Wenje, Kiwia, Ndasa, Kitwanga au Dr. Tizeba? Kwa wanawake...je ni Leticia Nyerere, Maria Hewa na wengine wa vitu maalum ambao siwakumbi? Vivyo hivyo tunaweza kuangalia mikoa mingine. Madhalani kwa mkoa wa Mbeya, je, ni Mbilinyi, Zambi, Pro. Mwandosya, dr. Mwakyembe au Prof. Mwandosya n.k.? Singida...je, ni Tundu Lissu, Mwigulu, Dewji, Chiligati etc? Kwa Dar... je, ni Mnyika, Makongoro Mahanga, Zungu, Ndugulile n.k? Karibuni tuendeleze hoja!

hapo yupo bwana mnyika
 
afadhali wabunge wapungue,wanakula tu kodi zetu mwisho wa siku wanasema ndiyoooonooooooooooo..!
 
Abdul mteketa hajawah kulud jimbon na bungen hajawah kuzungumza! 2015 bomu lao watalibeba hawa kijani!
 
Back
Top Bottom