Kim Jong Un
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 497
- 268
wenje atakuwa mbunge
Zito kabwe, Mwakyembe, Ndungulile,opulukwa na luhaga mpina
Freeman Aikaeli Mbowe
Pale ambapo Bunge letu litasinyaa na kubaki na Wabunge 75 tu toka hawa wa sasa zaidi ya 260,hawa wangefaa kuwa Wabunge katika Bunge Jipya:1. Tundu Antipas Mughway Lissu 2. Kangi Lugora 3. Deo Firikunjombe 4. Halima Mdee 5. Freeman Aikaeli Mbowe 6. Godbless Lema ..................Karibuni! Zingatio: Wanaume 35 na Wanawake 35 (achilia mbali watakaoteuliwa) Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hapa sioni hata katibu kata_hawa labda kwenye bunge la nyumbani kwako. sawa ndugu.1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
The list Goooooooooes on :nod:
Pale ambapo Bunge letu litasinyaa na kubaki na Wabunge 75 tu toka hawa wa sasa zaidi ya 260,hawa wangefaa kuwa Wabunge katika Bunge Jipya:1. Tundu Antipas Mughway Lissu 2. Kangi Lugora 3. Deo Firikunjombe 4. Halima Mdee 5. Freeman Aikaeli Mbowe 6. Godbless Lema ..................Karibuni! Zingatio: Wanaume 35 na Wanawake 35 (achilia mbali watakaoteuliwa) Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mkuu bunge letu la Tanganyika litakuwepo kama kawaida.. Hilo unalolisema ni shirikisho (jamhueri ya muungano) sasa wewe kwa akili yako linchi lote liwe na wabunge 70 itakuwaje.. Ebu shirikisha kidogo kichwa na ubongo
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:
Ponda ataingia upande wa CDM.We unafikiri CDM kitapata walau kiti kimoja cha mbunge wa shirikisho? Yani wa muungano? Hapa CDM hamtoki yangu macho
Nadhani alisema hatogembea tena ubunge ktk jimbo la kigoma, maybe atagombea katika jimbo lingine mf. dar?Zitto Mtoe amekwishasema hagombei tena ubunge, tunasubiri utekelezaji wa kauli yake.
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod: