Pona
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 1,099
- 647
Weka na wale waliotobolewa visigino na kufungwa minyororo kule kaole bagamoyo! By the way weusi waliopelekwa oman waliishia wapi? Mmejaa ushenzi na ubaguzi hapo somalia tu wabantu wanabaguliwa wakaamua kurudi tanga ndio maana napenda vichapo mnavopewa ma na bush na netanyahu
He! Wewe ni MTU Wa ajabu Sana, umepewa ushahidi wa picha na maandishi unaoonyesha namna gani wazungu waliwafanya na kuwaona waafrica!
Baada ya kuhuzunika kwa dharau zilizovuka mpaka ambazo wazungu waliwanyia waafrica, wewe bado unakuja na ushabiki wako wa kidini.
Hizo hadithi za kutobolewa visigino hizo ni hadithi za uongo wa kanisa ambazo zimejaa pale mkunazini unguja katika kanisa la anglikana, hazina tofauti na hadithi za mwanamke mwafrica mwenye mimba kupasuliwa ili waone mtoto anakaaje, au ile ya kumpiga MTU risasi aliepanda mnazi ili aonekane namna anavyokufa.
Kwa kuwa unasema waarabu waliwatoboa visigino waafrica hivyo ni jukumu lako kuweka hizo picha na ushahidi wa maandishi! Kama huna basi ni ule ule wa muendelezo wa chuki za wakristo juu ya waarabu na uislam