Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Bavaria
Hizi safari safari zina mambo mengi sana. Tunaona mengi tu. Kama mume wako au mke wako anasafiri safiri. Kazi yako uliyebaki home ni kuomba sana. Sana tu. Muombe Mungu.

Siwezi kumshirikisha Mungu ujinga kama huu.

Yani mke wangu avuliwe chupi kizembe halafu nimshirikishe Mungu?

Kuna wakati tunampa Mungu kazi ambazo hastahili kufanya.
 
Yani katika watu wanaopata tabu kumpata mke wa kuoa na mie nipo.Ni kazi jamani kaaa!Mabinti wa siku hizi ni tatizo sn.
 
Hakuna kinachoeleweka.

Vijana mjifunze kuandika vyema. Wakati mwingine mnaweza kuposti kitu chenye maana au kuhitaji ushauri wa maana (kama katika uzi wako uliouposti) ila watu hawatokuchukulia serious kutokana na jinsi ulivyoandika.

Ni ushauri tu, ukitaka uchukue ukitaka uache endelea na "x"
Yani kweli kabisa. Mtu mzima na elimu yake anaandika kama watoto wa shule ya msingi. Watu kama hawa sio wa kuchukulia serious.
 
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosa kwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip
umetia huruma sana. Just surrender your will power to your High Power for it can control things you can't. Otherwise utaendelea kuumia tu.
 
Back
Top Bottom