Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu

Tatizo kwa wanawake wa sikuhizi kumpata wa namna hiyo ni vigumu sana.
 
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosa kwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip

Hahahaaaa watu wengine bwana!
Poleni wake za watu huko majumbani!
 
Nice message bro. But I think this is more of a guilt conscious, than it is about the love for your wife. It will only get worse man, just confess to her, not us.
 
Nice message bro. But I think this is more of a guilt conscious, than it is about the love for your wife. It will only get worse man, just confess to her, not us.

It doesn't work the same way for everyone. If u have been raised the American way yeah it gets worse but if u have been raised the African way you just keep mum and life goes on. Remember in Africa men do not share everything with their partners!
 
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu

Irudie kwa herufi kubwa sentensi ya mwisho mkuu. Mbingu na ardhi vikusikie..yani kwamba?
 
Duh..sio rahisi hivyo Paulo. Mke anavyoheshimiwa ni ngumu kumwambia ati ume cheat..uaminifu utapungua automatic na pengine kila ukichelewa au makosa yanayoendana na hayo ataunganisha matukio. Afanye Ku mute tu..

Kama anaweza ku-mute ni poa. Ila hii post naona kama jamaa anajisikia hatia fulani.

Anyway, I was about to come clean about our affairs to Heaven Sent, but I'll take your advice and mute. It's over between us tho. I love my wife.
 
Haha..mpende tu. Anastahili kwa kweli,mi mwenyewe nilikuwa natafuta namna ya kutokea umeniwahi.
 
Kuna siku nilichepuka,nilivotoka pale nilijiona nimebeba bonge la mzigo wa dhambi,nilijiona nimemkosea wife hadi watoto wangu asee...hii ni dhambi kwa kweli
 
NIMEKUPENDA XNA KAKA.mim pia n mwanandoa nna mwaja na nucu xaxa. umenipa funzo kubwa xna. j2 yangu imeng'aa xna. BARIKIWA
 
Pesa mdogo
That was the first thing. Nilienda naye angaza kwa kumshutukiza. Akagomaa kabisa. Yaani kabisa anasema hapimi. Next week nikamshikia kisu. Tukaenda. Bahati nzuri it was good news untill today.

Kisu kisaaa??
 
vzuri kwa kujitambua, ila pia jitahidi kukumbua na kupitia tena wote wawili viapo vya ndoa, mwanaume umeambiwa "Umpende mke wako", huo ndo wajibu wako.
 
Back
Top Bottom