Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Ila mwanamke kama ameolewa alafu awe na michepuko hapendezi hata kidogo....anakuwa kinyaaa
 
Huu upendo wako naweza uita "ahsante mchepuko"
hongera kwa kumpenda mkeo
 
Duh. Imagine ndio mke wako anaenda semina huko na anachepuka. What a waste?

Ndoa zisikie kwa jirani ila yakikufika utatamani uivunje leo.

Bavaria
Hizi safari safari zina mambo mengi sana. Tunaona mengi tu. Kama mume wako au mke wako anasafiri safiri. Kazi yako uliyebaki home ni kuomba sana. Sana tu. Muombe Mungu.
 
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu

Kolelo
Umenichekesha sana. Kwa kweli baadhi ya wanaume wakitoka nje kwenye mchepuko wanatumia condom. Lakini mke wake hatumii condom. U wonder kutumia condom na kutotumia ipi tamu. Aisee mke raha sana.
 
Kolelo
Umenichekesha sana. Kwa kweli baadhi ya wanaume wakitoka nje kwenye mchepuko wanatumia condom. Lakini mke wake hatumii condom. U wonder kutumia condom na kutotumia ipi tamu. Aisee mke raha sana.
Ww nyama kwa nyama usipime yaan utamu wake mm nina miaka minne cjapiga kavu yaan hadi ss natamani nioe nifaudu MKE raha kaka we acha tu pole ynguu
 
Duh..sio rahisi hivyo Paulo. Mke anavyoheshimiwa ni ngumu kumwambia ati ume cheat..uaminifu utapungua automatic na pengine kila ukichelewa au makosa yanayoendana na hayo ataunganisha matukio. Afanye Ku mute tu..
Tena hawa wanawake wa kibongo akirogwa kumwambia kaharibu. Ni bora awe mpole kama maji ya mtungi
 
Ila ulielewa!

Hakuna kinachoeleweka.

Vijana mjifunze kuandika vyema. Wakati mwingine mnaweza kuposti kitu chenye maana au kuhitaji ushauri wa maana (kama katika uzi wako uliouposti) ila watu hawatokuchukulia serious kutokana na jinsi ulivyoandika.

Ni ushauri tu, ukitaka uchukue ukitaka uache endelea na "x"
 
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu

Lol..
Ukioa.. Uje kuhakiki haya
 
Habari za Leo wanajf. Mimi ni mume wa mtu. Nina ndoa ya miaka mitano. Kwenye ndoa kuna masaibu mengi. Lakini nimekuja kugundua kuwa love u r wife with all u r heart. Mpende mpaka basi. Yeye peke yake inawezekana ndo mwanamke anayekupenda jinsi ulivyo no matter what. Na inawezekana ndo mwanamke peke yake unayemgegeda bila kutoa hela.

Katika kazi zangu nimekuwa nafanya kazi na mdada mmoja mke wa mtu. Baada ya kuzoeana akaanza kuniambia kuhusu mapungufu ya mume wake na mapungufu ya ndoa yake. Kosa langu ni kutaka kumsaidia kimawazo. It was the biggest mistake. Kilichofuata tulijikuta tuna mapenzi mazito sana sana. Kiasi kwamba ikabidi Mimi nimwambie what we are doing sio. Haya mapenzi tuyahamishie majumbani mwetu. Hakuwa tayari kwa hilo. Akasema ninamgegeda kiasi ambacho mume wake haoni ndani. Kwangu anasema naongea naye vizuri. Nina jali. Nina huruma na upendo wa kweli. Na ninamtreat kama mwanamke mpaka raha.

All in all akaomba nikipata safari ya semina nimpange apate per diem kwani Ana shida na pesa(naweza kumpanga safari nikitaka) basi nikampanga safari moja mkoa Fulani. Wakati huo mi nilikuwa mkoa mwingine kabisa. Baada ya Mimi kumaliza kazi mapema nikasema ngoja nimsuprise nilipokuwa nimempanga kwenye seminar. Nilifika mkoa aliokuwa mida ya saa mbili ucku. Kwa sababu hotel aliyofikia nilishaifahamu nikaamua muda usogee kidogo ili nimsuprise vizuri. Nikawa nimeenda sehemu kupata mbili tatu.

Kama saa tatu ucku huo akatuma SMS kuuliza mbona kimya halafu akatuma SMS tena kusema analala. Dah nikaona sio kawaida. Nikaamua kumalizia kilaji fasta nikaenda alipofikia. Kuuliza reception wakasema alitoka na hajarudi.

To cut the story short alirudi baadaye sana na taxi ambapo kwenye taxi alikuwa yeye na mwanaume. Kumbuka nilipofika hapo hotelini kwake sikumpigia simu kujua yuko wapi. Alivyorudi akaomba msamaha pale lakini sikumwelewa. Ikabidi nikalale sehemu tofauti. Kesho yake nikaondoka nikarudi dar makao makuu. Nilivyofika home nilimwona mama watoto kama malaika. Kwa kweli nilimpenda sana mke wangu. Na mpaka sasa huniambii kitu. Baada ya siku moja yule mke wa mtu alinieleza kilichotokea lakini nilipopiga simu kunconfirm nilitambua ameniambia uongo. Kwa kifupi ni kicheche ila ukimwona huwezi kumdhani. Mpaka sasa nimekata mawasiliano ya visual na audio lakini haelewi.

Kikubwa ninachotaka kusema ni kwamba tuwapende wake zetu kwa nguvu zote. Wao ndo wanawake wa kweli. Wengine ni players. Mke wako ndo anakujua nje ndani. Ukiwa na hela au huna yeye ndo mke wako. Tuwapende kwa kweli. Tuwagegede mpaka basi. Mpaka hamu ya kwenda nje iishe. Na nyie wake za watu tulieni kwenye ndoa zenu. Huwezi kupata nafuu nje. Ukiumizwa na mume wako usilipize nje lipiza kwa kumpenda zaidi.

Umegegeda muke ya mutu... jitayarishe na wako anagegedewa kiroho mbaya.
 
Umegegeda muke ya mutu... jitayarishe na wako anagegedewa kiroho mbaya.

True kaka. Na labda alishagegedwa. Kikubwa ni kumpenda sana sasa hivi ili hata huko nje asitamani. Akitaka kutoka nje atakuwa anajiuliza Mara mbili mbili.
 
"mpaka sasa nimekata mawasiliano ya visual na audio" as if unapiga kazi kwenye video production. sorry nimeenda out of point lakini i just find that line funny.
 
Back
Top Bottom