Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,809
- 152,949
Mkuu hata hii JF yenyewe ukitaka kumjibu mtu unabonyeza "Reply". Halafu unaandika. Halafu unabonyeza "Post Reply".Nahisi utakuwa ni mtu wa kabila la wakinga, hujui lolote wewe
Mkuu hata hii JF yenyewe ukitaka kumjibu mtu unabonyeza "Reply". Halafu unaandika. Halafu unabonyeza "Post Reply".Nahisi utakuwa ni mtu wa kabila la wakinga, hujui lolote wewe
Nasisitiza kuwa kiingereza sio lugha ya kujivunia, hayo mambo ya kutoboa hakuna kitu hapo, wapo wengi duniani wsmetoboa na hawajui kuongea kiingereza.Sio kutoboa maisha ila inasaidia kwenye harakati za upambanaji.
Kua na uelewa basii mada inasemaje?Kazi inayopatikana Chuga ni za utalii peke yake? Hakuna shughuli zingine? Watu wote wa Chuga wanajua kiingereza? Huu ujauaji wa kifala ndo inafanya Arusha ionekane bangi tupu.
Si habari ya kujivunia mkuu, ni suala la kurahisisha mawasiliano na dunia tu na kufikisha vigezo fulani muhimu katiaka maisha ya kisasa.Nasisitiza kuwa kiingereza sio lugha ya kujivunia, hayo mambo ya kutoboa hakuna kitu hapo, wapo wengi duniani wsmetoboa na hawajui kuongea kiingereza.
Unamaanisha nn ?Mkuu hata hii JF yenyewe ukitaka kumjibu mtu unabonyeza "Reply". Halafu unaandika. Halafu unabonyeza "Post Reply".
Kiingereza ni lugha muhimu katika dunia ya leo.Unamaanisha nn ?
Endelea kuhisi na hiyo ndio shida ya Watanzania, kujifanya mnajua kumbe ni akina kapuku, andika hoja yako na si kujifanya unahisi kabila langu. jidanganye kwa kudhani sijui lolote.Nahisi utakuwa ni mtu wa kabila la wakinga, hujui lolote wewe
Habari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yote juu ya haya kama mzazi unamtoto jitahidi sana uweke ubahili pembenj pelekeni watoto wenu English medium.
Leo hii kwenye interview tu kijana imekuwa ngumu kutumia hata dk 10 kujieleza kwa kiingereza.
Kwa muingiliano wa watu nchini na fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Rai yangu Tuwapeleke watoto wetu wakasome kiingereza.
Unaweza kunipa sababu ya Google kuendelea kuzipa kipaumbele lugha za mataifa mbalimbali duniani?Si habari ya kujivunia mkuu, ni suala la kurahisisha mawasiliano na dunia tu na kufikisha vigezo fulani muhimu katiaka maisha ya kisasa.
Haya tuambie kwa kujua kuongea kiingereza huwa unaingiza $ ngapi kwa siku ?jidanganye kwa kudhani sijui lolote.
Mimi nakuunga mkono ndg. Hilo halina ubishi. Leo saa nne asubuh nimekutana na mzee mmoja mwaka jana mwishon tulikutana tena akaniomba nimuangalizie matokeo ya mwanae ya form two. Na ndio ilikuwa mara ya kwanza kuonana. Alipata Div IV=33Habari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yotw juu ya haya kama mzazi unamtoto jitahidi sana uweke ubahili pembenj pelekeni watoto wenu English medium.
Leo hii kwenye interview tu kijana imekuwa ngumu kutumia hata dk 10 kujieleza kwa kiingereza.
Kwa muingiliano wa watu nchini na fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Rai yangu Tuwapeleke watoto wetu wakasome kiingereza.
Hata kiswahili ni lugha muhimu ktk dunia ya leoKiingereza ni lugha muhimu katika dunia ya leo.
Mkuu,Unaweza kunipa sababu ya Google kuendelea kuzipa kipaumbele lugha za mataifa mbalimbali duniani?
Kwa nini hawajali lugha moja (English) pekee?
Ni kweli lugha ni mawasiliano Ila hiyo imani yenu Watz ya kuamini kuwa kila mzungu ni mwingereza itaendelea kuwaumbua kila siku dadeki
Mama haelewi kituKua na uelewa basii mada inasemaje?
Tuwapeleke watoto wakasome kiingereza.
Nimekupuuza
Yeah.Hata kiswahili ni lugha muhimu ktk dunia ya leo
Nilijua utasema serikali yako ibadili syllabus shule za kata zifundishwe kama shule za binafsi za English mediumHabari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yote juu ya haya kama mzazi unamtoto jitahidi sana uweke ubahili pembenj pelekeni watoto wenu English medium.
Leo hii kwenye interview tu kijana imekuwa ngumu kutumia hata dk 10 kujieleza kwa kiingereza.
Kwa muingiliano wa watu nchini na fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Rai yangu Tuwapeleke watoto wetu wakasome kiingereza.
Huo ni uongo mtupuUtaona Kiingereza kina nafasi kubwa sana,
Hata hapo unapobisha shurti ubofye "Reply" na "Post Reply".Huo ni uongo mtupu
Serikali ipi mkuu ya kuleta syllabus ya kiingereza wakati sekondari yenyewe wanataka physics ifundishwe kwa kiswahili.Nilijua utasema serikali yako ibadili syllabus shule za kata zifundishwe kama shule za binafsi za English medium