Tuwapeleke watoto wakasome kiingereza

Tuwapeleke watoto wakasome kiingereza

Tumeshamalizana we nenda tu Kalale maadam huna hoja zenye mashiko.

Eti umeshauriwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Karibu kambi ya fisi siku moja.
Mimi binafsi sioni haja yoyote ya kukomaa na kiswahili kwa nchi masikini kama hii. Kuna mambo ambayo yanatupotezea muda na kuongeza chance za umasikini wetu. So ni kheri tuwe kama Kenya. Ukweli ni kuwa wanaoponda kingereza hata hawakijui.
 
Mnashauriana vibaya sana, American nigga wewe ni mniga au ni Chakubanga uliyejibadilishia jina?

Wewe na mkuu wako kiranga sitawaelewa mkiukimbia huu uzi baada ya kuishiwa hoja.

Wekeni kambi hapa
KWANI BOSS HOJA YAKO KUU NI IPI KATIKA KUTETEA LUGHA YA KISWAHILI TUANZIE HAPO?
 
hehehee mzee unajua mtu unaebishana nae yuko kwenye level gani? au unadhani ni mgonga ulimbo mwenzio
Ana nini huyo jamaa? Huwa anakunya almasi ? Anavuta pumzi ya peponi wapi na wapi ni nyama ya uongo tu huyo, atawatisha kina mayonya na mayonya hana lolote.
 
Ukweli ni kuwa wanaoponda kingereza hata hawakijui.
Na ndivyo walivyo wachina na kichina chao, wajerumani na kijetumani chao wareno na kireno chao, waarabu na kiarabu chao.

Endelea kuponda kiswahili uzidi kuwa chini ya kongwa
 
Ana nini huyo jamaa? Huwa anakunya almasi ? Anavuta pumzi ya peponi wapi na wapi ni nyama ya uongo tu huyo, atawatisha kina mayonya na mayonya hana lolote.
Namaanisha Vichwani, kuzungumza na huyo mtu mambo ya Lugha ya Kiswahili kuwa ni bora ni sawa na Mzee wa miaka themanini na hekima zake kumlazimisha uendeshe nae maringi ya watoto[emoji23]
 
Na ndivyo walivyo wachina na kichina chao, wajerumani na kijetumani chao wareno na kireno chao, waarabu na kiarabu chao.

Endelea kuponda kiswahili uzidi kuwa chini ya kongwa
Unadhani ni kwanini China kuna watu zaidi ya 10000000+ wanaongea English?
 
Na ndivyo walivyo wachina na kichina chao, wajerumani na kijetumani chao wareno na kireno chao, waarabu na kiarabu chao.

Endelea kuponda kiswahili uzidi kuwa chini ya kongwa
Lugha asili ni kitu bora kinachoonyesha fahari ya utamaduni wako, ila kiswahili bado ni lugha changa mno, Tanzania tuna mambo mengi sana kwa sasa ya kufanya ukitoa kuikuza lugha yetu, so kupunguza mzigo wa mambo yasiyo na maana hapo baadae ni bora kutupa kiswahili kule!, tuzungumze Ngeli tuingie kwenye familia ya watu Billion 1.5 wanaoiongea. moja ya siri ya nguvu ni kuzungumza lugha moja.
 
Acha uongo we jamaa, unaishi dar? Embu ukuje uone huku Arusha kuna wareedii wanatema sana yai Ila hawana lolote la kujivunia kwa kujua hiyo lugha

Kuna wajanja wa chuga wao wanadili na Spanish, German, Italian nk hawa wanapiga Sana $kutoka kwa watalii wanaotoka hizo nchi. Huku English sio kitu cha kujivunia kabisa.

Hao watema ngenge wengi wametaga
 
Back
Top Bottom