Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,895
Sijakwambia bado naamini nini mkuu usinilishe manenoMkuu sijasema kwamba umesema bali nimeeleza kuwa unaamini hivyo
Sijakwambia bado naamini nini mkuu usinilishe manenoMkuu sijasema kwamba umesema bali nimeeleza kuwa unaamini hivyo
mimi watoto wangu watasoma shule za kayumba,kipato changu hakitoshi kusomesha shule hizo ninacho kifanya nachanga kipato changu hili wakitoka shule ni wape mtaji wajiajiri mtoto wangu wa 1 kajiajiri leo miaka 4 tangu amalize tuo mafanikio yapo akiiendelea hivi sia ajabu akawa miongoni mwatu wenye nguvu ya uchumi hapa wilayaniHabari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yote juu ya haya kama mzazi una mtoto jitahidi sana uweke ubahili pembeni mpelekeni mtoto wako shule ya English medium.
Watanzania tumekuwa tukipishana na Fursa nyingi sana kuanzia Utalii, uhusiano na mataifa mengine kwa sababu ya kutokuwa na ufasaha katika kuandika na kuongea lugha hii.
Leo hii kwenye interview tu kijana imekuwa ngumu sana kutumia hata dakika 10 kujieleza kwa kiingereza.
Viongozi wa nchi,watu mashuhuri,wanamziki wamekuwa wakishindwa kusimama kwenye warsha au makongamano kuongea kiingereza kwa ufasaha.
Maelezo mengi sana yamewekwa katika lugha ya kiingereza kuanzia mabango barabarani, matumizi ya simu binafsi, maelezo katika vipeperushi baadhi.
Kiukweli kuna umuhimu mkubwa sana wa kuwekeza lugha ya kiingereza kwa Watoto wetu maana samaki mkunje angali mbichi.
Kwa muingiliano wa watu nchini na fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Rai yangu Tuwapeleke watoto wetu wakasome kiingereza.
we mama akili yako nyingi sanaIla kushindwa kujieleza hapahusiani sana na kujua kiingereza au kutokujua. Hapo kinachohitajika ni confidence tu. Unaweza ukawa kiingereza unakijua vizuri sana na bado ukashindwa kujielezea.
Wengi wetu hata kwa kiswahili tu kujielezea ni tabu. Mtu anatoka jasho hadi machoni. Hiyo inamaana hana confidence ya kusimama mbele za watu.
Mteuliwa mmoja alishindwa kuapa kwa kiswahili baada ya kukosa confidence enzi za mwenda zakeIla kushindwa kujieleza hapahusiani sana na kujua kiingereza au kutokujua. Hapo kinachohitajika ni confidence tu. Unaweza ukawa kiingereza unakijua vizuri sana na bado ukashindwa kujielezea.
Wengi wetu hata kwa kiswahili tu kujielezea ni tabu. Mtu anatoka jasho hadi machoni. Hiyo inamaana hana confidence ya kusimama mbele za watu.
Mkuu Nigga, wanaotweza kingereza kwa kutetea kiswahili wana shida fulani ubongoni, au ni wanufaika na ujinga wa kibongo. Kimsingi kingereza kingekazaniwa sana.Bro Kiranga kwa vyeo vyako vya maarifa kubishana na huyo mtu si sawa. Mtu anaesema kiswahili kina maana kwenye karne hii anatakiwa akapimwe ubongo. English Ni Lugha ambayo mtu kuifahamu imekuwa ni Amri Sio Ombi. Na kama hutataka kujua English, basi hutajua mambo mengi muhimu ya karne hii. Sipendi kupepesa macho tena kuhusu haya mambo. Muda ambao tunautumia kujifunza swahili tungeutumia kujifunza Kingereza tungekuwa mbali sana.
Yaani unamaanisha watu wasome kiingereza ili wafaulu masomo ya juu.. Hii inafikirisha.. Baadae nini sasa? Kwa hiyo Kiswahili kifundishwe sekondari hadi chuo kikuu..Mimi nakuunga mkono ndg. Hilo halina ubishi. Leo saa nne asubuh nimekutana na mzee mmoja mwaka jana mwishon tulikutana tena akaniomba nimuangalizie matokeo ya mwanae ya form two. Na ndio ilikuwa mara ya kwanza kuonana. Alipata Div IV=33
Sasa leo tumekutana tena tukakumbukana akaniambia aliongea na mwanae. Akaahidi atakazana. Tukiwa tunaendelea kuangalia possible solutions zaid akasema shule ya msingi tangu darasa la kwanza mpk la saba alikuwa anakuwa wa pili au wa 3. Nikamwambia mzee hapo mchawi ni kiingereza. Maana amepata D mbili zingine F.
Bas akanipa namb yake tukaachana.
Nilipofika nilipokuwa naenda nilianzisha mdahalo mkubwa san kuhs lugha ya kiingereza. Watu waliongea mpk bas.
So kiingereza ni maji ukisema huyaogi Urakunywa ukisema hunywi utapikia. Nk..
Nakubaliana na wewe kabisa chief, ukiwa na juhudi binafsi ni rahisi Sana kujua kiingereza,nakumbuka Niko primary nilikuwa nanunua vitabu vidogo vya salamu na mambo madogo madogo kuhusiana na kiingereza,pia nilikuwa mpenzi Sana WA novel nakumbuka pale Tanganyika library posta nilikuwa mwanachama ni mwendo WA kubadilisha Kitabu kimoja baada ya kingine,nakumbuka nikiwa jitegemee High school Mimi sometime kama ticha hayupo nachukua dictionary napitia mpaka Mwalimu mmoja siku kaingia kanikuta napitia dictionary akanipiga dongo muoneni huyu anasoma dictionary lkn walikuwa hawajui nini nafanya.Mimi sehemu kubwa ya kujua Kiingereza ilikuwa juhudi binafsi.
Nilikuwa napenda kufuatilia comics (graphic novels) nikiwa mdogo, sasa zile comics unaweza kufuatilia picha, ila kujua story vizuri inabidi ujue kusoma Kiingereza.
Hapo ndipo dictionary ilipokuwa rafiki yangu.
Yani unafuatilia story ya kwenye comic kwa dictionary mpaka unaielewa.
Sasa mtoto akishaanza kujifunza kiubishi hivi, hata darasani ataona wanamchelewesha tu.
Mazingira ya nyumbani pia yanasaidia sana kufundisha lugha.
Sio unampeleka mtoto English Medium School, nyumbani hamna hata kitabu kimoja cha Kiingereza.
Duh, wewe pia una watoto unaplan waje wawe na nguvu Dunia ya kesho ili hali unaamini kiswahili ni Lugha yenye nguvu.Unaweza tengeneza source kwa kuweka idadi ya namba uitakayo na usiwe na uthibitisho wowote kuhusu hiyo kitu.
We endelea tu kukifagilia kiingereza maadam unaamini kuwa ni lugha ya 'wajanja' kitu ambacho sio kweli.
Wewe huamini hivyo?Duh, wewe pia una watoto unaplan waje wawe na nguvu Dunia ya kesho ili hali unaamini kiswahili ni Lugha yenye nguvu.
Unaona sasa hapo mwanafunzi anaelewa umuhimu a kusoma dictionary, mwalimu haelewi.Nakubaliana na wewe kabisa chief, ukiwa na juhudi binafsi ni rahisi Sana kujua kiingereza,nakumbuka Niko primary nilikuwa nanunua vitabu vidogo vya salamu na mambo madogo madogo kuhusiana na kiingereza,pia nilikuwa mpenzi Sana WA novel nakumbuka pale Tanganyika library posta nilikuwa mwanachama ni mwendo WA kubadilisha Kitabu kimoja baada ya kingine,nakumbuka nikiwa jitegemee High school Mimi sometime kama ticha hayupo nachukua dictionary napitia mpaka Mwalimu mmoja siku kaingia kanikuta napitia dictionary akanipiga dongo muoneni huyu anasoma dictionary lkn walikuwa hawajui nini nafanya.
Mwisho wa siku Yale mashindano ya mkondo WA madarasa katika debate nilikuwa natangazwa good English speaker,kwahiyo juhudi binafsi nayo inachangia Sana.
Dah we Acha Tu chief unajua baada ya kupigwa dongo Darasa zima walicheka Yani nilionekana kituko Kwa Mda ule.Unaona sasa hapo mwanafunzi anaelewa umuhimu a kusoma dictionary, mwalimu haelewi.
Ukisoma "The Autobiography of Malcolm X" kuna sehemu utaona moja ya sababu zilizomfanya Malcolm X awe msemaji mzuri sana ni kusoma dictionary na kutumia yale maneno katika mawasiliano yake.