2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 519
- 1,553
- Thread starter
- #41
Yaani Twende mbele.Hata hapo unapobisha shurti ubofye "Reply" na "Post Reply".
Unakibishia Kiingereza umuhimu wake, wakati huohuo, ili point zako za kubishia umuhimu wa Kiingereza zitufikie, inabidi ukitumie Kiingereza!
Hapo ndipo utajua Kiingereza ni muhimu au si muhimu.
Kiingereza kina umuhimu mkubwa sana tofauti vile watu wanavyoleta ushabiki.
Basics ya kiingereza kwa majirani wenzetu kenya uganda kimewafanya wafike mbali sana.
Hata ukiangalia kuanzia kwenda abroad, kwenye sector ya utalii, kwenye nyanja za ajira wana move sana