Tuwape miaka mingapi CCM watufikishe huku?

Tuwape miaka mingapi CCM watufikishe huku?

Mr Global

Senior Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
150
Reaction score
125
42db6ee83b61c679f7fd13a76d1d49d6.jpg
 
CCM wameshatufikisha wewe bado unandoto kwamba kuna sehemu wanatupeleka?
 
Chini ya ccm sisi ni wasindikizaji TU...

OVA
 
unamaanisha uwezo wao ndio umeishia hapa tulipo
sasa kama mnafanya sherehe kubwa ya uzinduzi wa kadege kama kale kwa karne hii? zile ndege zingekuja kimya kimya tu, bila hata kuwaita waandishi wa habari. Ndo kama vile mwanza wakafanya sherehe ya uzinduzi wa lift ya kwanza kwenye gorafa.
 
Hilo la uzinduzi wa kadege mimi nililiona kama
images-176.jpeg
 
Ndio maana mnaendelea kuwapa KURA,kwa kudhani kuwa ipo siku watawafikisha huko ........Ungejiuliza kwanza je,mmeshamaliza kuchangishana madawati,kisha ndio uulize vitu vya nyongeza.
 
Ndio maana mnaendelea kuwapa KURA,kwa kudhani kuwa ipo siku watawafikisha huko ........Ungejiuliza kwanza je,mmeshamaliza kuchangishana madawati,kisha ndio uulize vitu vya nyongeza.
Hawapewagi tena bali siku hizi wanapora kwa nguvu.
 
Utawala wa chama kimoja iwe ccm au cuf au cdm hakuwezi leta maendeleo. Maendeleo yatakuja kwa vyama kutoana/ kubadilishana madaraka, yaani chama kilicho madarakani kikiwa na hofu ya kuondolewa madarakani na chama kingine hapo hofu inakuwepo na maendeleo wanafanya. Kwa sasa magamba wamejiwekea mizizi ya udikiteta kwa kuzuia mabadiliko. Kilichobaki ni uamuzi wa wananchi na si vyama tena. Vyama vya upinzani ni vya kuchagiza ili wananchi waamke. Nje ya hapo ni dhiki tu mpaka kiama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom