KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Wana jamvi,
Heri ya pasaka na niwatakie pasaka njema.
Leo nimewaza sana na kuona kuna kipindi tunapoteza vitu mhimu kwa kukubali kuheshimu maandiko ambayo tumeyaweka sisi ukweli kuna viongozi waliwahi kuwa viongozi wazuri katika tawala zao wakafanya mazuri ila kama wanadamu nawao wana makosa yao ,ila wakiondoka tunakuja kupata kiongozi mwingine ambaye uyumbisha nchi na uchumi. Mimi naona tuwe na mfumo wa nchi kama Islael au India,Pakstan ,iran na nchi nyingi za comonweath inawezekana tuachane na fikira za Mwenyeketi.
Nawakilisha.