Tuwakumbuke watangazaje wa 80s RTD!

Dominick Chilambo
Charles Hilali
Abisaye Steven
Maiko Katembo
Kisunga Steven
Sara Dumba
Ahmed Kipozi na Mkewe
Jacob Tesha
 
18. Salama Mfamao- 'Wasemavyo Waimbaji'
19. Siwatu Luanda- 'Wakati wa Kazi'
20. Aloysia Maneno -'Chei Chei Shangazi'
21. Elisia Isabula -'Watoto Wetu'
22. Michael Katembo- 'Ngoma Zetu'
23. Bati Kobwa - 'Majira Arusha'
24. Ben Kiko -'Majira Dodoma'
25. Henrick Kilibuda- Mkoa kwa Mkoa
26. Nelly Kidela- External Service
27. Edda Sanga -External Service
28. Jacob Tesha-Habari
29. Abdala Ngarawa -Habari
30. Nasoro Msekeli- 'Ana kwa Ana'
31. Mohamed Ng'ombo- 'Mashairi'
32. Athumani Khalfan -'Mghanii Wetu'
33. Steven Lymo 'Muziki na BP'
34. Nadhir Mayoka -'Mbunu za Kiswahili'
35. Abysai Stephen- Idhaa ya Biashara

Safi sana Pasco.....Umenikumbusha mbali sana mkuu wangu....

Hapo kwa Abdallah Mlawa ongeza na kipindi cha Kijaruba....

Pia kipindi cha Steven Lyimo cha kila jumamosi saa 1:30 kilikuwa ni Starehe na BP......

Mimi nawakumbuka sana watangazaji wa zile kanda za RTD enzi hizo...

-Kwanza kulikuwa na kanda ya mashariki(Morogoro) ambayo ilikuwa na watangazaji kama Halima Kihemba na baadae Monica Lyampawe...

-Pili kuna kanda ya Nyanda za juu kusini(Mbeya) ambayo ilikuwa na mtangazaji Idrissa Sadallah na baadae Nswima Ernest..

-Tatu kulikuwa na kanda ya kati(Dodoma) ambayo ilikuwa na watangazaji kama Ben Kiko(Benjamin Kikoroma),Barnabas Mluge, Ahmed Kipozi, Sango Kipozi, Hendrick Michael Libuda na baadae Wilson Malosha, Damian Msangya, Zeno Lukoa na Hellen Masele...

-Kanda ya Magharibi ilikuwa na watangazaji Chisunga Steven na Tumbo Tamim Risasi(Kigoma) na Titus(Taitas) Philipo(Tabora)...

-Kanda ya kusini ilikuwa na watangazaji Abysai Steven(Songea-Ruvuma) na Angalieni Mpendu na Peter Makorongo(Lindi)....

-Kanda ya Ziwa Victoria ilikuwa na watangazaji Dominick Chilambo(yeye ndiye aliwatunga Pamba jina la TP Lindanda Kawekamo) na Nathan Rwehabura(Mwanza) na Richard Leo(Musoma)......

-Zanzibar alikuwepo Yusuph Omary Chunda(mzee wa methali na nahau) na Makame Abdallah..

-Kanda ya Kaskazini walikuwepo Ahmed Jongo 'Father'(Arusha) na Eshe Mboko/Eshe Muhidin(Tanga)......

Pia kulikuwa na watangazaji ambao walikuwa wakiripotia RTD wakiwa nchi jirani za Kenya na Uganda ambao ni pamoja na Fredy Obacho Machoka na Samadu Hassan(Kenya) na Mike Alarenge(Uganda).....

Kwa upande wa taarifa ya habari nakumbuka watangazaji wazuri wlikuwa ni pamoja na Jacob Tesha, Salum Seif Nkamba(S.S. Nkamba), Florian Kaiza, Sekione Kitojo, Charles Martin Hilary, Julius Nyaisanga, Eda Sanga, David Wakati, Nkwabi Ng'wanakilala, Bujaga Izengo Kadago, Karim Besta, Elizabeth Chalamila 'Betty Mkwasa', Abdul Ngarawa,Juma Ngondae, Sarah Dumba, Mohammed Kisengo, Mikidad Mahmoud, Salim Mbonde, Bakari Msulwa na wengine...

Kwa upande wa watangazaji wa michezo na mpira nawakumbuka Omary Jongo, Mshindo Mkenyenge, Ahmed Jongo, Dominick Chilambo, Ahmed Kipozi, Charles Hilary, Halima Mchuka(baadae sana huyu), Makame Abdallah(STZ), Christine Chokunegelea(kipindi cha michezo), Henrick Michael Libuda na wengine...

Kwa upande wa vipindi vya muziki na burudani(Misakato,Klabu raha leo shoo,chaguo la msikilizaji,top ten show,kijaruba,ngano za muziki,mwanamuziki wetu n.k)/ngoma za asili(mkoa kwa mkoa na tumbuizo asilia) nawakumbuka Michael Katembo, Nazir Mayoka, Abdallah Mlawa, Enock Ngombare Mwiru, Geofrey Erneo, Julius Nyaisangah, Bati Kombwa(Batholomeo Komba), Khalid Ponera, Malima Ndelema na wengine....

Bila kuwasahau watangazaji akina mama ambao wengi walikuwa wakitangaza vipindi vya salamu,wakati wa kazi,chei chei shangazi,watoto wetu,mama na mwana na vingine....Hawa ni pamoja na Rosemary Mkangara, Siwatu Lwanda, Deborah Mwenda, Aloysia Maneno, Salama Mfamao, Elisia Isabula, Penzi Nyamungumi na wengine......

Pia walikuwepo wataalamu wa Mazungumzo baada ya habari ambao walikuwa ni Salim Seif Nkamba, David Wakati, Abdul Ngarawa na Juma Ngondae.....

Bala......
 
Usahihi:4.Christine Chokunegela5. Tumbo Risasi6. Salim Mbonde11. Ahmed Kipozi12. Sango (Tuwa) Kipozi13. Sekion Kitojo14. Betty (Chalamila) Mkwasa15. Dominic Chilambo
Hapo namba 4 nakumbuka ni christine chakunogela.
 
Kuna mmoja alikuwa anaitwa Izengo bujaga sijui sp kama niko sahihi!
Mama na mwana nilikuwa naipenda mambo ya Akaja sembamba,mfalme raha
 
duh imenikumbusha mbali saana kipindi kile jumamosi mama na mwana hadithi za ua jekundu lazima nilikuwa niwe mtiifu ili mchana tufunguliwe radio (panasonic memory Q) afu ilikuwa inafatiwa na jungu kuu halikosi ukoko dah ha haaa afu nlikuwa nafkiri jungu kuu ni bonge la sufuria liko RTD anyways hapa naongelea 90's 80 nilikuwa bado nyoka saaana
 
Safi sana Pasco.....Umenikumbusha mbali sana mkuu wangu....Hapo kwa Abdallah Mlawa ongeza na kipindi cha Kijaruba....Pia kipindi cha Steven Lyimo cha kila jumamosi saa 1:30 kilikuwa ni Starehe na BP......Mimi nawakumbuka sana watangazaji wa zile kanda za RTD enzi hizo...-Kwanza kulikuwa na kanda ya mashariki(Morogoro) ambayo ilikuwa na watangazaji kama Halima Kihemba na baadae Monica Lyampawe...-Pili kuna kanda ya Nyanda za juu kusini(Mbeya) ambayo ilikuwa na mtangazaji Idrissa Sadallah na baadae Nswima Ernest..-Tatu kulikuwa na kanda ya kati(Dodoma) ambayo ilikuwa na watangazaji kama Ben Kiko(Benjamin Kikoroma),Barnabas Mluge, Ahmed Kipozi, Sango Kipozi, Hendrick Michael Libuda na baadae Wilson Malosha, Damian Msangya, Zeno Lukoa na Hellen Masele...-Kanda ya Magharibi ilikuwa na watangazaji Chisunga Steven na Tumbo Tamim Risasi(Kigoma) na Titus(Taitas) Philipo(Tabora)...-Kanda ya kusini ilikuwa na watangazaji Abysai Steven(Songea-Ruvuma) na Angalieni Mpendu na Peter Makorongo(Lindi)....-Kanda ya Ziwa Victoria ilikuwa na watangazaji Dominick Chilambo(yeye ndiye aliwatunga Pamba jina la TP Lindanda Kawekamo) na Nathan Rwehabura(Mwanza) na Richard Leo(Musoma)......-Zanzibar alikuwepo Yusuph Omary Chunda(mzee wa methali na nahau) na Makame Abdallah..-Kanda ya Kaskazini walikuwepo Ahmed Jongo 'Father'(Arusha) na Eshe Mboko/Eshe Muhidin(Tanga)......Pia kulikuwa na watangazaji ambao walikuwa wakiripotia RTD wakiwa nchi jirani za Kenya na Uganda ambao ni pamoja na Fredy Obacho Machoka na Samadu Hassan(Kenya) na Mike Alarenge(Uganda).....Kwa upande wa taarifa ya habari nakumbuka watangazaji wazuri wlikuwa ni pamoja na Jacob Tesha, Salum Seif Nkamba(S.S. Nkamba), Florian Kaiza, Sekione Kitojo, Charles Martin Hilary, Julius Nyaisanga, Eda Sanga, David Wakati, Nkwabi Ng'wanakilala, Bujaga Izengo Kadago, Karim Besta, Elizabeth Chalamila 'Betty Mkwasa', Abdul Ngarawa,Juma Ngondae, Sarah Dumba, Mohammed Kisengo, Mikidad Mahmoud, Salim Mbonde, Bakari Msulwa na wengine...Kwa upande wa watangazaji wa michezo na mpira nawakumbuka Omary Jongo, Mshindo Mkenyenge, Ahmed Jongo, Dominick Chilambo, Ahmed Kipozi, Charles Hilary, Halima Mchuka(baadae sana huyu), Makame Abdallah(STZ), Christine Chokunegelea(kipindi cha michezo), Henrick Michael Libuda na wengine...Kwa upande wa vipindi vya muziki na burudani(Misakato,Klabu raha leo shoo,chaguo la msikilizaji,top ten show,kijaruba,ngano za muziki,mwanamuziki wetu n.k)/ngoma za asili(mkoa kwa mkoa na tumbuizo asilia) nawakumbuka Michael Katembo, Nazir Mayoka, Abdallah Mlawa, Enock Ngombare Mwiru, Geofrey Erneo, Julius Nyaisangah, Bati Kombwa(Batholomeo Komba), Khalid Ponera, Malima Ndelema na wengine....Bila kuwasahau watangazaji akina mama ambao wengi walikuwa wakitangaza vipindi vya salamu,wakati wa kazi,chei chei shangazi,watoto wetu,mama na mwana na vingine....Hawa ni pamoja na Rosemary Mkangara, Siwatu Lwanda, Deborah Mwenda, Aloysia Maneno, Salama Mfamao, Elisia Isabula, Penzi Nyamungumi na wengine......Pia walikuwepo wataalamu wa Mazungumzo baada ya habari ambao walikuwa ni Salim Seif Nkamba, David Wakati, Abdul Ngarawa na Juma Ngondae.....Bala......
umenikumbusha mbali sana mkubwa
 
Juma NkamiaBhujaga Izengo Kadago
Huyu Bhujaga Izengo Kadago namkumbuka enzi ile 1978 ya vita ya Nduli Amin kupitia radio aina ya National na hapo kjjn kwe2 ni mzee mmoja tu ndiyo aliyekuwa nayo na unakuta 2nakusanyika utafikiri 2nasubiri posho. Yani we acha2!
 
duh imenikumbusha mbali saana kipindi kile jumamosi mama na mwana hadithi za ua jekundu lazima nilikuwa niwe mtiifu ili mchana tufunguliwe radio (panasonic memory Q) afu ilikuwa inafatiwa na jungu kuu halikosi ukoko dah ha haaa afu nlikuwa nafkiri jungu kuu ni bonge la sufuria liko RTD anyways hapa naongelea 90's 80 nilikuwa bado nyoka saaana

Marudio Jumatatu saa nane!, kutoroka shule lazima!
 
Sijui kama mnamkumbuka Zawadi Manitu, alikuja kujiita Zawadi Machibya, labda baada ya kumpata mwenza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom