Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Inashangaza sanaMcheck BlackBold ni zero zero zero yaan kuna wadau wapo hivyo humu kazi yao ni ku-observe tu hachangii post ha-like Wala hafanyi nini tangu 2007/2008 yeye ka-mute tu
Inashangaza sanaMcheck BlackBold ni zero zero zero yaan kuna wadau wapo hivyo humu kazi yao ni ku-observe tu hachangii post ha-like Wala hafanyi nini tangu 2007/2008 yeye ka-mute tu
nami nilitaka kuuliza hilo swalimnawafahamu vipi hawa watu?
Public Enemy dada yangu kaolewa niko hapa namlimda😀😀😁😁😁Una kimeo nini wengine hatuna shida tunapita tu tunasoma simulizi hatuna tabu na maswala ya siasa Wala ugomvi na watu sie kufurahi tu na simulizi ndo maana kujuana nyuma ya identity zetu hatuoni tabu jina tu public enemy 😂una majanga mfano mie na Gily nilivutiwa na comments zake very funny tukakutana inbox mpaka Leo namuona kama kaka yangu tunabadilishana mawazo kimaisha etc au Baba yangu wao ni wao napenda comment zake za busara nikamfata PM kuongea nae ma2 ma3
anatumia sijui William J malecela kama sijakoseanasikia Lemutuz katutoka na ni member wetu mzuri sana tatizo hatujui id yake
Taarifa wanapewa na wengine hua wanawafahamu physically washaonana na kuanza kushirikiana kwa hio likitokea la kutokea akafa taarifa inatoka, mfano Depal na Lenie wanafahamiana physically au Intelligent businessman na trudie wanafahamiana physically, kwa hio pakitokea lolote atatoa taarifa humu na JamiiForums wataifanyia kazi inapothibitika kua NI kwelimnawafahamu vipi hawa watu?
Wekeni link Kama mtaweza na sisi tuusome..Yule uzi wake ulinihuzunisha sana hasa pale aliposema alipita makaburini akaishia kutabasamu tu huku akijua kuwa siku chache zijazo ataenda kuzikwa na ndugu zake watatawanyika na kumwacha mpweke peke yake. Ni maumivu sana.
William J. Malecelaanatumia sijui William J malecela kama sijakosea
Umeshawekewa link hapo juu.Wekeni link Kama mtaweza na sisi tuusome..
Kuna kwenda jela msisahauHapo kuna mawili. Sana sana kasahau Password ya id yake au kashatembea [emoji18][emoji18]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbeeenakumbuka kuna mdada alikuwa anaitwa lara one. watu walikuwa na usongo nae sana wa kumfahamu. ila baadae ikaja kubainika kumbe ni mange kimambi.
🤣🤣🙌Kuna kwenda jela msisahau
[emoji1]Mimi nikifa nitajijua mwenyewe maana huku niliko mtu ukimwambia natumia jamii forums hawakuelewi
Zee FeburuariHujamuweka Mohamedi Mtoi aliyekua mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema, Moody sitakaa niamini kama ile ilikua ajali tu