Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Kuja yule wa chdema j8na sikumbuki vizuri ila alipataga ajali kule Tanga miaka ya Nyuma alikuwa ana asili ya Manyara kitu kama philemoni Aweda
 
Yule jamaa wa kuitwa folk alikuwa na kansa simjui lakini ananiuma mpka leo nikomaga uzi wake lazima chozi litoke na ubandidu wangu......

Jamaa alikufa kifo kizuri na cha huzuni sana hata hapa ninavyoandika uchungu umenishika haya maisha sometime ukiwaza sana hupati jibu.
Uzi wake huu:

Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
 
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP October 2015
4. Dotto Mnzava RIP December 2015
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkali wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886


Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
fasi dwasi
Mpauko 2020
Gottee 15 march 2020 mloganzila DSM

Ramaa Tech leo 15/10/202
0
@Leadermore
Hujamuweka Mohamedi Mtoi aliyekua mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema, Moody sitakaa niamini kama ile ilikua ajali tu
 
Mazoea tu mnakutaka kwenye thread mbalimbali mnajenga mazoea mnabadilishana contact PM basi wengine wanaona live kabisa hivyo ikitokea kifo basi anatoa taarifa.nawe tafuta wa kuzoeana nae muwe karibu [emoji16]
Hapo Ndio Tatizo, Siku Nikifa Naona Mods wakiona Account haijatumika muda sana watajiongeza tu nimekufa.
 
Hapo Ndio Tatizo, Siku Nikifa Naona Mods wakiona Account haijatumika muda sana watajiongeza tu nimekufa.
😁😁😁Una kimeo nini wengine hatuna shida tunapita tu tunasoma simulizi hatuna tabu na maswala ya siasa Wala ugomvi na watu sie kufurahi tu na simulizi ndo maana kujuana nyuma ya identity zetu hatuoni tabu jina tu public enemy 😂una majanga mfano mie na Gily nilivutiwa na comments zake very funny tukakutana inbox mpaka Leo namuona kama kaka yangu tunabadilishana mawazo kimaisha etc au Baba yangu wao ni wao napenda comment zake za busara nikamfata PM kuongea nae ma2 ma3
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Una kimeo nini wengine hatuna shida tunapita tu tunasoma simulizi hatuna tabu na maswala ya siasa Wala ugomvi na watu sie kufurahi tu na simulizi ndo maana kujuana nyuma ya identity zetu hatuoni tabu jina tu public enemy [emoji23]una majanga mfano mie na Gily nilivutiwa na comments zake very funny tukakutana inbox mpaka Leo namuona kama kaka yangu tunabadilishana mawazo kimaisha etc au Baba yangu wao ni wao napenda comment zake za busara nikamfata PM kuongea nae ma2 ma3
Sina kimeo chochote wala Naamini Hakitakaa kitokee, ila Sijui Nafeli wapi.
 
Back
Top Bottom