Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
JamanKuna watu huzoeana kupitia comments za thread mbalimbali Kisha wana chat PM wanabadilishana contact mfano mie na Gily šnikifa atatoa tu taarifa.
JamanKuna watu huzoeana kupitia comments za thread mbalimbali Kisha wana chat PM wanabadilishana contact mfano mie na Gily šnikifa atatoa tu taarifa.
Gily mtu powa sana.....
ukifa Nourhan nitapata wakati mgumu kutoa taarifa. Mungu akupe maisha marefu sana. Na Mungu akufanyie wepesi na kichanga nataka niitwe unclešš
Hata wewe ni mtu mwema sana. Nafurahi sana kuwa sehemu ya maisha yako ndugu yangu. .Gily mtu powa sana.....
Sijawai onana nae.... comment na chatting zime tu unganisha
šHata wewe ni mtu mwema sana. Nafurahi sana kuwa sehemu ya maisha yako ndugu yangu. .
Pisi ya mbeya nimekumissš
Yule uzi wake ulinihuzunisha sana hasa pale aliposema alipita makaburini akaishia kutabasamu tu huku akijua kuwa siku chache zijazo ataenda kuzikwa na ndugu zake watatawanyika na kumwacha mpweke peke yake. Ni maumivu sana.Yule jamaa wa kuitwa folk alikuwa na kansa simjui lakini ananiuma mpka leo nikomaga uzi wake lazima chozi litoke na ubandidu wangu......
Jamaa alikufa kifo kizuri na cha huzuni sana hata hapa ninavyoandika uchungu umenishika haya maisha sometime ukiwaza sana hupati jibu.
Ni kweli ni mtu mwema akifa haozi šGily mtu powa sana.....
Sijawai onana nae.... comment na chatting zime tu unganisha
Mzee unaweza ukajiona una matatzo Ila ukisikia matatzo ya watu unaishia kushukuru Mungu.Yule uzi wake ulinihuzunisha sana hasa pale aliposema alipita makaburini akaishia kutabasamu tu huku akijua kuwa siku chache zijazo ataenda kuzikwa na ndugu zake watatawanyika na kumwacha mpweke peke yake. Ni maumivu sana.
MwamandaIdadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP October 2015
4. Dotto Mnzava RIP December 2015
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkali wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886
Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
fasi dwasi
Mpauko 2020
Gottee 15 march 2020 mloganzila DSM
Ramaa Tech leo 15/10/202
0
@Leadermore
Ebu huo uzi kama bado upo uweke na sisi wengine tuupitie...Yule uzi wake ulinihuzunisha sana hasa pale aliposema alipita makaburini akaishia kutabasamu tu huku akijua kuwa siku chache zijazo ataenda kuzikwa na ndugu zake watatawanyika na kumwacha mpweke peke yake. Ni maumivu sana.
Kuna mwingne covid ilimtinga aliandika uzi akiwa na hali mbaya sijui ka aliponaMzee unaweza ukajiona una matatzo Ila ukisikia matatzo ya watu unaishia kushukuru Mungu.
Yule jamaa dokta wake alimwambia kwamba atoboi mienzi 4 mbele so akawa anajiandaa kusubiri kifo so kupita makaburini ndo akawa anasema hizo kauli za kwamba siku chache zijazo yale ndio yatakuwa makazi yake,watu watamzika kisha watamwacha,vipi wazazi wake na blah blah zengine nyingi za kuumiza yule jamaa aliniuma sana sana yahn.
Uzi ulizuiwa kuchangia, kwa kujifunza hebu searchEbu huo uzi kama bado upo uweke na sisi wengine tuupitie...
Huyu Saint Ivuga yupo?Acha roho mbaya
Warumi š³ alifarikiMwamanda
Shy
Warumi
Mnawajuaje hao membersIdadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP October 2015
4. Dotto Mnzava RIP December 2015
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkali wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886
Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
fasi dwasi
Mpauko 2020
Gottee 15 march 2020 mloganzila DSM
Ramaa Tech leo 15/10/202
0
@Leadermore