Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Mzee unaweza ukajiona una matatzo Ila ukisikia matatzo ya watu unaishia kushukuru Mungu.

Yule jamaa dokta wake alimwambia kwamba atoboi mienzi 4 mbele so akawa anajiandaa kusubiri kifo so kupita makaburini ndo akawa anasema hizo kauli za kwamba siku chache zijazo yale ndio yatakuwa makazi yake,watu watamzika kisha watamwacha,vipi wazazi wake na blah blah zengine nyingi za kuumiza yule jamaa aliniuma sana sana yahn.
Embu nitag kwenye huo uzi
 
Attachments

  • A32E627A-3344-4EE3-AF80-4BDA6CF018F2.png
    A32E627A-3344-4EE3-AF80-4BDA6CF018F2.png
    87.5 KB · Views: 32
jaman na yeye pia
Kuna watu walisema eti alivamiwa kariakoo akauawa alikuwa mfanyabiashara , Poker alisema kuna mtu alikuwa anafahamiana nae ni mfanyabiashara pia Kariakoo alikuwa akifahamiana na iceman 3D ndio alimuambia sasa nishamtafuta sana humu kila mtu hajui alipo
Na ilikuwa sio kawaida yake kupotea hivi ,ila sina uhakika watu kama wawili walisema Ice amefariki
 
mungu wa mbinguni naomba isiwe kwel,hizi taarifa zinaumiza sana japo hatufahamiani kwa sura
 
Back
Top Bottom