Tuwakumbuke waliotamba

Tuwakumbuke waliotamba

1551650914868.png
 
Mr. HARUFU unaweza nitumia hizi picha hasa hasa za ulizoshusha leo kwa WhatsApp au Email?
 
BABY, BABY, BABY.

Ni moja katika VIBAO vya TLC ninavyovikubali.

Pamoja ya kuwa LEFT EYE hakufungua kinywa chake hapa, na alikuja kufungua kwenye BABY, BABY, BABY (REMIX).

Ukweli ni kwamba naikubali sana hii isiokuwa na Michano kulinganisha na REMIX.



 
Hapa nacharazia VIBAO vya TLC kwa ujumla, hata vile ambavyo LEFT EYE hajachana.

Au vile VIBAO ambavyo LEFT EYE alikuwa ameshafariki, hata kama itakuwa T-BOZ na CHILLI tu.

Ni katika kuwakilisha tu
 
Back
Top Bottom