Tuwakumbuke waliotamba

Tuwakumbuke waliotamba

1551646777265.png
 
T-BOZ (wa kwanza kushoto).

LEFT EYE (Marehemu) kati.

CHILLI (mwisho kulia).



1551646964215.png
 
Huyu nani ...caption please !?

Sent using Jamii Forums mobile app
LISA LOPES (LEFT EYE).

MC wa kundi la TLC linalojumuisha WANADADA watatu ambao ni T-BOZ, CHILLI na LISA LOPES jina la usanii LEFT EYE ambae ni Marehemu kwa hivi sasa, alifariki kwa ajali ya GARI mnamo mwaka 2002.

Kimpangilio,

T-BOZ.
LEFT EYE.
CHILLI.

Herufi moja ya mwanzo ya kila jina la msanii, ndio unapata jina la kundi ambalo ndio TLC
 
TLC3D.

Inasikitisha sana, TLC ALBUM yao hii ilikuja kutoka miezi michache baada ya KIFO cha LEFT EYE.

Mbaya zaidi Marehemu LEFT EYE alichangia kazi yake, ilibaki kufanya VIDEO tu.

Kila nikiwa nakitazama kibao chao cha kuitwa GIRL TALK, napata sana simanzi.

Pengo la LEFT EYE linaonekana, kwa kweli halizibiki/halitozibika.


1551648253735.png
 
Back
Top Bottom