Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
huyo sijui alifundishwa nn....mimi nilipofundishwa niliambiwa nisikubali mtu aniguse na nikatishwa kabisa ntatoka usaha ha ha ha..nisimruhusu hata aniguse nyonyo :wink:
Huyu mtoto hadi polisi kapelekwa lakini wapi!! Ni kwamba kashakubuhu
Huyu mtoto hadi polisi kapelekwa lakini wapi!! Ni kwamba kashakubuhu
Acha wahalibike sababu ya digital
Acha wahalibike sababu ya digital
Wazazi wale kila mtu anamtupia lawama mwenzake!
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha kamwe....!!!!