hili ndio la kufanya kwa sasainabidi tuziangalie upya tujiulize wapi tunakosea
Dah habari hizi zinaniuma sana mimi mzazi kwa jinsi tunavyozaa kwa uchungu at the end of the day mtu anaharibu mtoto wako! Eeh Mungu tusaidieWewe Sio pwani tu Njoo mitaa ya villa Mwanza ujionee majanga,huku Sio std4 huku hawajaenda xule kabisa vitoto vya miaka 9 mibaba inaponea huku so nijanga lakitaifa br tuombe sana mungu.
Dah habari hizi zinaniuma sana mimi mzazi kwa jinsi tunavyozaa kwa uchungu at the end of the day mtu anaharibu mtoto wako! Eeh Mungu tusaidie
Duh jamani mwanao wa kumzaa!! Mmh bila woga?Na hawa walifunzwa na tamaduni za pwani?Mwanafunzi atiwa mimba na wanaume 7 Dodomahttp://dar24.com/2014/04/01/jela-miaka-65-kwa-kumpa-mimba-mwanae/#MKAZI wa Mtaa wa Uhamila katika mji mdogo wa Rujewa, mkoani Mbeya, amehukumiwa miaka 65 jela kutokana na makosa matatu tofauti, yaliyotokana na kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa. Mahakama ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ilitoa hukumu hiyo jana kwa Benjamin Muyinga (48) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa hayo.Punguani wahed.
Dah kuna haja somo la ukimwi lianzie kufundishwa chekechea! Maana tulipo Sasa sio pazuriIla hili la kubakana watoto naona linasambaa achana na huyo alieonja utamu akakataa shule,unakuta kikundi cha vivulani vidogo vinavizia katoto ka kike wanataka kubaka,sijui watoto wanajifunzia wapi!Au ndo madhara ya kulala chumba kimoja na wazazi pamoja na kuangalia picha za video!!
Huyu mtoto hadi polisi kapelekwa lakini wapi!! Ni kwamba kashakubuhuMtoto wa miaka 12 hawezi kuwa kashindikana. Lawama kwa wazazi wake ambao wameruhusu hali hiyo. Mtoto ni malezi tu, haya mambo yapo enzi na enzi ila malezi ya wazazi kwa mtoto ndio chimbuko la yajayo kesho
Habarini!?
Nimesikitishwa na tukio nililoliona wiki hii kwenye pitapita zangu ni binti Wa darasa la 4 amekataa shule akitaka aendelee na maisha ya kujiuza!
Ni binti ambae kwa mahesabu ya haraka atakuwa na miaka12 na kamwili kakuvutia kalikoletwa na kuvunja ungo mapema!
Baada tu ya kuvunja ungo ndipo akafundwa yale mambo ya pwani kuhusu ukubwa na tabia zake tangu hapo zikawa si nzuri!
Mtoto huyu kulala kwenye vigodoro ni kawaida kwake kupigwa mitungo na mengineyo!
Je hizi tamaduni zetu hatuwezi kuziacha? Au kupunguza makali ya mafunzo? Mbona watoto wetu wanaharibikiwa baada ya kufunzwa?
Tuwafiche wapi watoto wetu Wa kike?
Nawasilisha.
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha kamwe....!!!!
Acha wahalibike sababu ya digital
Duh jamani mwanao wa kumzaa!! Mmh bila woga?