Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
je unawajua sunbirds ?
sunbirds ni aina ya ndege wadogo wanaopatikana katika maeneo yetu tunayoishi.
Sunbird wanapatikana katika order passerformes na familia yao inaitwa nectariniidae wakiwa ni ndege wadogo na wembamba pia.
Ndege hawa wanapendelea sana kula nectar au asali asali ipatikanayo katika maua ya mimea na aina yao ya mdomo huwasaidia sana katika ulaji wa nectar.
Hivyo ndege hawa ni msaada mkubwa ktk kufanya uchavushaji wa mimea kama ule afanyao nyuki au kipepeo.
Aina yao ya mdomo ni down curved bills ambao ni maalumu na mzuri kwa ulaji wa nectar.
Wakati mwingine pia wanakula wadudu.
Dume anamkia mrefu na anarangi inayong'ara zaidi ya dume.
Jike pekee ndie mjengaji wa kiota na huatamia mayai bila ya msaada wa dume.
Wanataga mayai mawili.
Aina kadhaa za sunbird:
>MARICO SUNBIRD.
>COLLARED SUNBIRD.
>VARIABLE SUNBIRD.
>SCARLET CHESTED SUNBIRD.