cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,320
- 140,299
hivi JF uko nayo serious sanaa?? Hebu tuachee bhana. Isije kuwa nakukwaza. Mie nilikua nakutania na wala hakuna ukweli wowote.Hamna noma! Sema dah! Najichoresha kinyama yani...
Nisamehee bureee, kuanzia now hutoona nazungumza au kusema chochote juu yako.
Relaaaaaaaxxx!!! Byeeeee
Enjoy your time,