Si style ya mapenzi dear, spooning huijui??Ila hujanijibu spooning ni nini.Sorry kwa maswali mengi mengi wangu
Siijui nitai googleSi style ya mapenzi dear, spooning huijui??
Okay thanksโค๏ธ๐.Wee nambie kuwa wazi wala usiogopeee, niko cool sanaaaa, ushauri na maonyo napokea, utekelezaji unabaki kuwa kwangu.
Maisha mafupii hayaaa bhanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh ahsanteee sanaa, usijari siku nikiamua kuachaa, nitaacha ila now acha nizifaidi mishedede. [emoji23][emoji23][emoji23]Okay thanks[emoji3590][emoji120].
Unamfahamu mtu yeyote aliyekua gay then akaacha?
Naomba kama unaweza uache bestie[emoji120][emoji3590][emoji120]
Poa mwaya๐โค๏ธOoooh ahsanteee sanaa, usijari siku nikiamua kuachaa, nitaacha ila now acha nizifaidi mishedede. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji178][emoji178]Poa mwaya[emoji120][emoji3590]
huu ni utovu wa nidhamumgusishe mashine kwenye tigo uone kama hataongea
๐ข๐ข๐ขWeee shindwa!
Siwezi kuwa mkeo kwa mengi,๐คฃ
Mojawapo ni Coca ni bestie angu siwezi muingilia๐
Bora nikawe mtawa kanisani wee una mambo makubwa sikuwedhi๐คฃ๐คฃ
Asante mkuuโค๏ธ๐๐ข๐ข๐ข
View attachment 2627735
Ahsante kwa shukuru!Asante mkuuโค๏ธ๐
๐๐๐Kumbe Sisi wasumbufu tunaonekana tumeibiwa nyumbaNiliona nikiendelea kumpa airtime huyu atajiona mshindi. Ikabidi nimalizane nae then tufunguane mashati. Sahivi anapiga simu kama kaibiwa nyumba. Sipokei wala simblock akichoka ataacha kwa muda wake.
Akuuu๐คฃAhsante kwa shukuru!
Usinikazie kiivyo kibuti kinauma sana๐๐๐
Mimi napenda wewe๐นAkuuu๐คฃ
Hatari Sana mkuu, unaweza kupigiwa simu mpaka ukahisi huyu mtu atakuwa mikononi mwa wale walinzi shirikishi wa mtaa kumbe anataka hela ya gas tu๐๐๐๐๐Kumbe Sisi wasumbufu tunaonekana tumeibiwa nyumba
Sitaki and don't stalk me?,๐Mimi napenda wewe๐น
Ngoja umzoeshe amsha amsha ageuke kiwembe ndo utajua hujui ๐Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
No i donโt stalk you just try to understand my point please!Sitaki and don't stalk me?,๐
[emoji23][emoji23][emoji23]nikuunganishe nae?Jamani Mimi ndio napenda wanaume wa hivyo, ila sipati[emoji19][emoji23]
Tunataka mliochangamka kiasi sio mzidi ukimya bwana[emoji28]Wanawake siku mkijua mnachokitaka; na Masihi Atarudi siku hiyo hiyo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]