Pole sana. Mkoa wa Kagera ulikuwa ukiitwa Ziwa Magharibi baada ya vita vya Idd Amini ukabadilishwa na kuitwa KageraWe jamaa umekomaa lakini naona huna uangalifu. Mkoa wa Kagera mwanzoni uliitwa Bukoba baadaye ukawa Ziwa magharibi na sasa Kagera.
Igunga ni wilaya muda mrefu ? Hiyo imezaliwa na Nzega mwaka 1974Kuna wilaya kongwe hapo Tanzania kama Nzega, Kilosa hazijawahi kuomba kuwa mikoa, maendeleo yao yako duni hadi leo ukiacha Nzega kwa sasa ilishafunguka vizuri baada ya kupata wabunge wanaojitambua kupigania masalahi ya wananchi wake. Igunga ni moja ya wilaya za muda mrefu lakini maendeleo yake ni duni sana na imetoa viongozi wengi tu bila kuiboresha kulingana jigrafia ya eneo ilipo njiani mwa barabara kuu ya Singida-Dom-Dar-Mwanza
Wilaya za Kilombero, Ulanga na Malinyi kwenye mkoa wa Morogoro ndio zenye changamoto kubwa sana ya barabara na huduma za kiutawala kutoka makao makuu ya mkoa. Barabara ya lami inaishia kiwanda cha sukari Kilombero baada ya hapo zaidi ya kilomita 200 ni za vumbi zikiwa na mashimo makubwa kana kwamba haichangiii chochote kwenye uchumi wa mkoa na nchi!!!
Heheee..kwani mnatofauti gani..mana kama ujuaji wote wajuaji.Labda watumie maguvu. Wakerewe kutuchanganya na wajita na wakurya ni kutukosea Sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1. Kuunganisha Ukerewe na Mwanza na kuunganisha Ukerewe na Mara wapi pana unafuu wa gharama?Kibara siyo makao makuu ya mkoa wa mara. Wilaya haiwezi kutegemea huduma za kiutawala kutoka wilaya nyingine bali kutoka makao makuu ya mkoa. Huduma za kimkoa ztakuwa mbali na halmashauri. Kupakana siyo tija bali ni uharaka wa huduma kutoka makao makuu. Ndo maana mpka leo nyerere anawazd wengi kifkra
Hakuna sehemu ya Tabora iliyopelekwa Katavi. Kaliua ni wilaya katika mkoa wa Tabora. Unazungumzia eneo lipi la Tabora lililopelekwa Katavi ?
Mhh. Unajua kutoka Ukerewe kwenda Musoma ni mbali sana kuliko kuja Jijini Mwanza ? Aidha nani aliyekudanganya kwamba ukerewe asili yake ni Mara ?
Usikariri kwamba kumegwa eneo lazima limegwe eneo lenye watu, wanaweza kumega hata mapori yasiyokaliwa na watu na wanyama ambayo yayo hayo hayajulikani kwa wengi.Hakuna sehemu ya Tabora iliyopelekwa Katavi. Kaliua ni wilaya katika mkoa wa Tabora. Unazungumzia eneo lipi la Tabora lililopelekwa Katavi ?
Madhara ya mabadilikko ya tabia ya nchi hayoKumaanisha kwamba ziwa lilikua limekauka ama?.
Tupe hii historia ilikuaje..mana wazee walishawahi nambia kati ya ukerewe na bunda watu walikua wanatembea tu kwa mguu..hakuna kuvuka maji.
#MaendeleoHayanaChama
Nakerwa na hii tabia ya kugawa mikoa hata Sumaye alipokua Waziri mkuu aliigawa Arusha na kuja na mkoa wa Manyara mpaka leo kugawa kwake sijaona maendeleo yoyote, akaja pinda naye akagawa mkoa wa Rukwa kisa ni kiongozi , akaja Magufuli naye akawa analeta division tena ya chato ni aibu kabisa, Sasa huu ubaguzi wa kila sehemu akitoka kiongozi kuteua mkoa tutafika kweli, huko tuendako mbona USA ina majimbo makubwa na hawagawi hovyo. Hapa ni kuishauri serikali kuongeza budget za kimaendeleo Hadi ngazi za chini na sio kugawa nchi kwenye vi portion vingi huku umaskini wa watu ukiwa palepaleUsihangaike sana na Chato, tatizo kubwa kabisa ni Mkoa wa Katavi. Pinda atueleze aliwaza nini? mkoa wenye wakaazi wasiofika laki 4! Na hapo alitaka kuongeza ukubwa kwa kumega urambo, ikashindikana maana Urambo ndo historia ya Tabora yenyewe. Kwa ujumla kumega na kugawa mikoa ni ushamba tu wa viongozi wetu.
Kwa hapo awali kibiti ilikuwa wapi?Mkuu,
Peleka na hili:
Wilaya ya Mafia ipewe mkoa wa Dsm toka mkoa wa Pwani. Tayari Pwani imeongezewa Wilaya ya Kibiti na mipango iko mbioni kuanzishiwa Wilaya ya Chalinze.
Wewe trush kweli, hivi unashindwa kuelewa kwamba kuna jimbo la Kaliua? Hiyo Kaliua iko Katavi? Puumbavu zako.Urambo East Sitta, Urambo West Kapuya, sasa hivi kuna Jimbo la Urambo (Mhe. Margareth Simwanza Sitta), tusaidie kuitafuta Urambo West ya Kapuya imeenda wapi?
Usikariri kwamba kumegwa eneo lazima limegwe eneo lenye watu, wanaweza kumega hata mapori yasiyokaliwa na watu na wanyama ambayo yayo hayo hayajulikani kwa wengi.
Usiwe mbishi bhana! Kwani nchi hii imeanza wakati wa vita ya Idd Amin?Pole sana. Mkoa wa Kagera ulikuwa ukiitwa Ziwa Magharibi baada ya vita vya Idd Amini ukabadilishwa na kuitwa Kagera
Nui mtindo wa kijinga tu! Chato ilimegwa Bihalamuro kwa sababu za kibaguzi, baada ya wahaya kwa miaka mingi kuendelea kuiona Bihalamuro kama wavamizi wa mkoa wao.Mwanza geita..shinyanga simiyu wala sio ukabila mana wote hao ni wasukuma mikoa yote hiyo..kigezo kikubwa ni wingi wa watu na ukuaji wa kiuchumi wa maeneo hayo ndio mana yakagawa ki utawala.
#MaendeleoHayanaChama
Mikoa mikubwa ilisaidia sana kuondoa tatizo la ukabila. Wanavyoendelea kumega mikoa mikoa inageuka kuwa vipande vya kabila moja tu. Walipogawa mkoa wa Pwani na kuondoa Dar sijawahi kuona maendeleo ya ziada kwa sababu ya kugawa mkoa.Nakerwa na hii tabia ya kugawa mikoa hata Sumaye alipokua Waziri mkuu aliigawa Arusha na kuja na mkoa wa Manyara mpaka leo kugawa kwake sijaona maendeleo yoyote, akaja pinda naye akagawa mkoa wa Rukwa kisa ni kiongozi , akaja Magufuli naye akawa analeta division tena ya chato ni aibu kabisa, Sasa huu ubaguzi wa kila sehemu akitoka kiongozi kuteua mkoa tutafika kweli, huko tuendako mbona USA ina majimbo makubwa na hawagawi hovyo. Hapa ni kuishauri serikali kuongeza budget za kimaendeleo Hadi ngazi za chini na sio kugawa nchi kwenye vi portion vingi huku umaskini wa watu ukiwa palepale
Wakati wa ukoloni mkoa wa sasa wa Kagera ulikuwa ndani ya jimbo la ziwa. Ilipofika mwaka 1959 Jimbo la Ziwa liligawanywa na kupata jimbo la Ziwa Magharibi. Baada ya uhuru wa Tanganyika Mkoa wa Ziwa Magharibi uliendelea kutumia jina hilo hadi baada ya vita ya Idd Amin ulipobadilishwa jina na kuitwa Kagera.Usiwe mbishi bhana! Kwani nchi hii imeanza wakati wa vita ya Idd Amin?
Huna hoja hata kidogo katika bandiko lako lote.Mkuu Kalamu1,
Hapo ndipo unagundua mgawanyo huo wa mikoa ya Mara na Mwanza ulifanyika kwa staili kama ile ya ukoloni walivyogawa Lesotho na Estwani ndani ya Afrika Kusini.
Ukerewe iliungana na mkoa wa Mara (ardhi moja) lakini ilitengwa na mkoa wa Mwanza kwa maji kwa umbali wa kilomita 54. Yaani Mwanza inaacha nchi kavu inaingia hadi majini na kuvuka maji hayo kwenda kuifuata Ukerewe ambayo imeungana kwa ardhi na mkoa wa Mara. Kwa mantiki hiyo kumbe Sultan Jamshid Bin Abdullah alikuwa sahihi kuweka mipaka ya eneo la Usultani wake kutambuka kisiwa cha Unguja, kuingia baharini na kuvamia nchi kavu ya mkoa wa Dsm hadi Kimara. Mantiki ya Mwl Nyerere ya kukataa mipaka ya Usultani kutambuka bahari hadi Kimara na kukubali Mwanza kutambuka ziwa hadi Ukerewe ambayo iliungana na Mara inakosa mashiko, ushawishi na uwiano wa haki.
Jipange upya mkuu.
Wewe ndiye msemaji wa hao wana Ukerewe?Haikuwahi kuwa, sasa tunataka iwahi kuwa sehemu ya Mara. Nadhani tuwaulize Wanaukerewe kwa njia ya referendum wanataka wawe Mwanza au Mara?
"Mabadiliko Tabia Nchi" yamekuwepo karne na karne, hayakuanza leo na hayatakoma kesho!Madhara ya mabadilikko ya tabia ya nchi hayo
Ni kweli maana hyo ina encourage ukabila tu wa Bure tu nchini na kila kiongozi atakuwa ana mega mkoa na ku favor sehemu yake. Serikali ipeleke maendeleo Hadi ngazi ya chini kabisa sio kugawa gawa nchi kwa vi portion yasije kutokea mambo ya Ethiopia sasaMikoa mikubwa ilisaidia sana kuondoa tatizo la ukabila. Wanavyoendelea kumega mikoa mikoa inageuka kuwa vipande vya kabila moja tu. Walipogawa mkoa wa Pwani na kuondoa Dar sijawahi kuona maendeleo ya ziada kwa sababu ya kugawa mkoa.