Tuunganishe Ukerewe na nchi kavu

Tuunganishe Ukerewe na nchi kavu

D
Na ndiyo wilaya ambayo iko nyuma kimaendeleo kuliko wilaya zote za Mwanza. Hakuna mikakati ya kuendeleza Ukerewe

Na ndiyo wilaya ambayo iko nyuma kimaendeleo kuliko wilaya zote za Mwanza. Hakuna mikakati ya kuendeleza Ukerewe chini ya Mwanza. Metaphysics pia ni tatizo kubwa sana Ukerewe. Wakerewe ni Wasukuma ni magwiji wa Metaphysics. Kwanini wasomi wengi wa Ukerewe hawarudi kuendeleza kwao? Nendeni Mara hamtadumaa.
#Dougras kuna mda huwa natamani pia ukerewe iwe part ya mkoa wa Mara sioni walitumia vigezo gani kuifanya kuiweka mkoa wa mwanza mfano kuna visiwa kama irugwa kutambulishwa eti wapo mwanza aiceee hailet maana kabisa japo sidhani kama kwimba na misungwi hadi mda huu tunaongea wanaizidi ukerewe maendeleo
 
D



#Dougras kuna mda huwa natamani pia ukerewe iwe part ya mkoa wa Mara sioni walitumia vigezo gani kuifanya kuiweka mkoa wa mwanza mfano kuna visiwa kama irugwa kutambulishwa eti wapo mwanza aiceee hailet maana kabisa japo sidhani kama kwimba na misungwi hadi mda huu tunaongea wanaizidi ukerewe maendeleo
Mhe. Rais SSH afanye uamuzi mgumu wa kusahihisha makosa haya kwa kuipeleka Ukerewe Mara toka Mwanza, Mafia kwenda Dsm toka Pwani, Kondoa kwenda Manyara toka Dodoma, Kiteto kwenda Dodoma toka Manyara (hivi sasa ili Mwanakiteto aende Babati Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara analazimika kwenda Mkoa wa Dodoma kwanza wilaya za Chamwino, Bahi, Chemba, Kondoa kwa lami ndiyo aingie Babati). Serengeti iliyoko Mara ilimegwa kipande chake (tena cha mbuga ya wanyama) kupewa Bariadi Mkoani Simiyu (zamani Simiyu kwa maana ya Shinyanga haikuzitenga Mara na Mwanza bali Mara ilipakana na Mwanza, hivi sasa Simiyu wana shea kwenye ziwa Victoria); basi kwa kuwa Serengeti ilimegwa kupewa Bariadi nadhani Ukerewe irudishwe Mara kufidia sehemu ya Serengeti iliyopelekwa Bariadi Simiyu. Ziara ya mwisho ya Mhe. Rais Magufuli (deceased) Mwanza aliwaahidi Wanamwanza kuwapa wilaya mpya. Nina maoni kwamba Mhe. Rais SSH asahihishe dosari hizi.

Map-of-Tanzania-showing-districts-previously-surveyed-for-trachoma-in-20042006-and.png

Taswira kwa hisani ya google.
 
Back
Top Bottom