Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
-
- #61
Hahahaaa.... Korea Kusini imekuwa kiuchumi kwa kuuza nywele za maiti (wigi)UMenikumbusha jambo la kijinga tu! Eti Chalinze inakuwa wilaya, tayari ni halmashauri. Pesa iliyopo ni kuuza mahindi na nanasi!
Mkuu, nini kilisababisha?Kwa taarifa ukurewe haikua kisiwa zamani. Ilikua imeungana na mkoa wa Mara. Ilikua kisiwa kuanzia Mwaka 1960
Kuthibitisha kwamba asili yake ni mkoa wa Mara na siyo Mwanza.Hicho kisiwa majina ya maeneo yake mengi yanaanzia na Bu
Mvua ya Uhuru 1961 that rained cats and dogs!Mkuu, nini kilisababisha?
Makao makuu ya mkoa wa Mara yako karibu na wananchi wa Ukerewe kuliko makao makuu ya mkoa wa Mwanza ambao ndiyo mkoa unaohudumia wilaya ya Ukerewe.Ukerewe haijawahi kuwa upande wa Mara. Zamani kulikuwa hakuna mikoa na ilirithiwa kutoka kwa wakoloni ni majimbo ambapo huko kulikuwa kunajulikana ni 'Lake Province' baadae ikagawanywa na kuwa mikoa mitatu Mwanza, Mara, Ziwa Magharibi (kwa sasa Kagera) na Shinyanga.
Tangu hapo Ukerewe ilikuwa ni sehemu ya Mwanza
Hameni kuliko kupiga kelele kwenye jukwaa kwa utambulisho mfichoMakao makuu ya mkoa wa Mara yako karibu na wananchi wa Ukerewe kuliko makao makuu ya mkoa wa Mwanza ambao ndiyo mkoa unaohudumia wilaya ya Ukerewe.
Alafu wastaraabu sana, ni wife material.Mademu wa ukerewe watamu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Zamani kabla Tom Mboya haja-reclaim Rusinga kuiunganisha na Mbita iliyoko nchi kavu, mtu alisoma shule chekechea (zamani bush) hadi form six hajaona gari kwa macho yake, anaenda kuonea Mbita, na maghorofa anakwenda kuyaona Nairobi University.Tupe mchanganuo wa faida tafadhali.
Sawa ,humu tunaongeza tu lakini serikali ukitafakari gharama za mameri na vivuko , lakini pia kunaweza kuanzishwa eneo la utalii au watu kwenda kupumzika huko , hii ni kutokana na.mazingira ya kisiwa hicho, upo uwezekano watu wakatoka nchi jirani katika ukanda wetu achiliia mbali kutoka nje ya ukanda huu. Lakini kikubwa zaidi ni kuwarahisishia wananchi wa ukerewe na majirani zao usafiri kwenda na kutoka visiwani mwao.Hivi unajua ni km ngapi hapo au unaongea,
Mkuu,Hameni kuliko kupiga kelele kwenye jukwaa kwa utambulisho mficho
JK alizimikiwa kivuko katikati ya ziwa kuelekea Ukerewe. SSH jenga daraja au reclaim ardhi kama Tom Mboya kule Rusinga.Sawa ,humu tunaongeza tu lakini serikali ukitafakari gharama za mameri na vivuko , lakini pia kunaweza kuanzishwa eneo la utalii au watu kwenda kupumzika huko , hii ni kutokana na.mazingira ya kisiwa hicho, upo uwezekano watu wakatoka nchi jirani katika ukanda wetu achiliia mbali kutoka nje ya ukanda huu. Lakini kikubwa zaidi ni kuwarahisishia wananchi wa ukerewe na majirani zao usafiri kwenda na kutoka visiwani mwao.
Inadhaniwa (tafiti hazijafanyika) kwamba Ukerewe inayoundwa na visiwa 38 (archipelago of 38) ni sehemu pekee duniani (tena ndogo sana 530 km2 (200 sq mi)) ambayo imezalisha wanazuoni wa kiwango cha Uprofesa wapato 70 hadi mwongo mmoja uliopita 2011 - 2021.Tupe mchanganuo wa faida tafadhali.
Kuna kitabu cha Kiingereza nilikisoma zamani miaka ya 1990s (nilikiazima kutoka kwa Padri Roki Katabure, aliyekuwa paroko wa Parokia ya Itira kwa miaka mingi sana huko nyuma) kinasema miaka ya nyuma sehemu (ambayo kwa sasa imefunikwa na maji) kati ya ya bara na Ukerewe ilikuwa 'marsh area'. Na watu kutoka Ukerewe walikuwa wakienda upande wa bara kwa mguu na watu wa bara walikuwa pia wakienda Ukerewe kwa mguu. Hata wanyama kama simba, fisi, tembo na wanyama wengine kutoka Mbuga ya Serengeti walikuwa wakati ule wakitafuta malisho hadi Ukerewe. Wajerumani mwaka 1917 (sikumbuki vizuri kama ni mwaka huu kweli au la, lakini nakumbuka kusoma hivyo) walichimba 'channel' ili iwe rahisi kusafiri kutoka Mwanza kwenda Musoma kwa njia ya mkato kwa boat kupitia 'channel' hii kuliko kuzunguka sehemu ile nyingine ya Ukerewe. Na mwaka 1954 wakati wa ujenzi wa Owen Falls nchini Uganda, kina cha maji ya Ziwa Victoria kiliongezeka na miaka ya 1960s (nadhani miezi kadhaa kabla ya uhuru kulikuwa na mvua kubwa sana inayojulikana Ukerewe kama "Mvua ya Uhuru". Hivyo, kina cha maji kilipoongezeka eneo hili (marsh area) lilianza kumezwa na maji na kutokana na water erosion, baadhi ya sehemu za upande wa Ukerewe na wa bara ziliendelea kufunikwa na maji. Kwa sasa ukiwa upande wa Ukerewe au bara huwezi kuona watu upande ule au huu isipokuwa majengo tu. Hii inaonyesha water erosion iliyofanyika ni kubwa sana na kwa pontoon kama sikosei ni ama mwendo wa nusu saa au zaidi (sikumbuki maana ni muda mrefu sana sijasafiri kupitia njia hii ya pontoon).Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mwanza
Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mara (Bunda)
Hoja:
1. Ukerewe iko jirani na mkoa wa Mara kuliko mkoa wa Mwanza.
2. Ninadhani Ukerewe iondolewe mkoa wa Mwanza ipelekwe mkoa wa Mara.
3. Kama tumeweza kujenga Nyerere Bridge Kigamboni-Kurasini, Tanzanite Bridge, Magufuli Bridge (Kigongo Busisi) hatuwezi kushindwa kwa baadaye hali ya bajeti ikiruhusu kujenga daraja kuunganisha Bunda na Ukerewe. Marehemu Tom Mboya ali-reclaim land na kuunganisha nchi kavu na kisiwa cha Rusinga alikozaliwa.
Kisiwa cha Rusinga kikiwa kimeunganishwa na nchi kavu sehemu ya Mbita.
Taswira zote kwa hisani ya Google.
Ukerewe hadi Mwanza ni 54 km kwa njia ya majini, Ukerewe hadi Musoma Mjini kupitia Bunda ambako ni mzunguko ni 183 km kwa barabara, Ukerewe (Nansio) hadi Kibara na Musoma Mjini kupitia majini ni 3.8 km. Ukitokea Ukerewe hadi Bunda na kwenda Mwanza kwa barabara ni mbali zaidi ya kutoka Ukerewe hadi Musoma kupitia Bunda kwa barabara.Siyo kwamba ni karibu zaidi mtu wa Ukerewe kwenda Mwanza ukilinganisha na kwenda Musoma? Makao makuu ya mikoa hiyo miwili!
Madhali Jimbo lipo kwenye mikono ya CCM we hope they will do something kama legacy ya mama na kwa heshima ya Baba wa Taifa!Ukerewe hadi Mwanza ni 54 km kwa njia ya majini, Ukerewe hadi Musoma Mjini kupitia Bunda ambako ni mzunguko ni 183 km kwa barabara, Ukerewe (Nansio) hadi Kibara na Musoma Mjini kupitia majini ni 3.8 km. Ukitokea Ukerewe hadi Bunda na kwenda Mwanza kwa barabara ni mbali zaidi ya kutoka Ukerewe hadi Musoma kupitia Bunda kwa barabara.
Mkuu 'Douglas Majwala' kuunganika kwa ardhi siyo hoja ya sehemu sehemu moja kuwa kwenye mkoa mwingine.Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mara (Bunda)
Kwa kuwa Mwanza ni karibu zaidi kuliko Musoma, naona ni bora zaidi ukerewe ibaki mwanza ili kupunguza usumbufu wa kusafiri mwendo mrefu kwenda mkoani. Kuwe tu na usafiri wa uhakika wa meli Nansio - Mwanza.Ukerewe hadi Mwanza ni 54 km kwa njia ya majini, Ukerewe hadi Musoma Mjini kupitia Bunda ambako ni mzunguko ni 183 km kwa barabara, Ukerewe (Nansio) hadi Kibara na Musoma Mjini kupitia majini ni 3.8 km. Ukitokea Ukerewe hadi Bunda na kwenda Mwanza kwa barabara ni mbali zaidi ya kutoka Ukerewe hadi Musoma kupitia Bunda kwa barabara.
Hizi kilometer 3.8 umezipima tokea wapi mkuu? Haiwezekani kwa kila njia!Ukerewe hadi Mwanza ni 54 km kwa njia ya majini, Ukerewe hadi Musoma Mjini kupitia Bunda ambako ni mzunguko ni 183 km kwa barabara, Ukerewe (Nansio) hadi Kibara na Musoma Mjini kupitia majini ni 3.8 km. Ukitokea Ukerewe hadi Bunda na kwenda Mwanza kwa barabara ni mbali zaidi ya kutoka Ukerewe hadi Musoma kupitia Bunda kwa barabara.
Huu ni upotoshaji, tena wa kijinga kabisa.Mkuu,
Mwl hakuitendea mkoa wa Mara haki kwa kuchukuwa Ukerewe kuipeleka Mwanza. Hii siyo #haki, inabidi Ukerewe irudishwe Mara kwasababu JPM aliwaahidi Mwanza kwamba atawapa Wilaya nyingine, basi Ukerewe irejeshwe kwenye asili yake (Mara).