Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Duh!
Ubabe ubabe hadi kwenye mali yangu ni laana ya umaskini wako.

Kama ndivyo na walijua wanayahitaji, kwann wayawekee kodi kubwa au kwanini wasingeyasamehe kodi ili huyo muingizaji waliyemdhania kuwa mwokozi awaokoe. Kama sio tamaa kutaka yote kwa pupa
Chaguo la mungu
 
Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..

1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.

2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..

View attachment 906438

3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.

4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.

Sasa tuje kwenye nadharia:

5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448

6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.

7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*

8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..

9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.

Karibuni tujadili..

Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica
Cha kwanza kabisa alimshukuru MHESHIMIWA RAIS
 
Tulikua tunazodoa waliopita walipo uza maliasili zetu, wakageuza Tanzania shamba la bibi.

Wacha tutekane na kukwapuana mali.

Tuna uhaba wa bujeti, pesa haijawai kutosha lakini hatujawai fikia sehemu baba anamteka mtoto wake ili amzulumu
Utafute uzi wa Mshana Jr ndio utajua huyo mtoto hakuwahi dhulumu vitu vya baba yake?? Na kufanya uharibifu mkubwa wa mali na maisha ya watoto wengine.??
 
Mwalim Nyerere. aliwahi kufikishwa Mahkama za Umoja wa Mataifa kisa ..madeni aliyokopa kwa wazungu kuendelea nchi!

Alipofika kule alisema" hizo pesa walizotukopesha walizipata kwetu ..kupitia rasilmali na nguvu zetu!
kwa hiyo ni wameturudishia wenyewe na hatuta walipa!"
Na hakuwalipa kweli!
Yeye kama Mwl Nyerere hakulipa....ila Tanzania ililipa, inalipa na itaendelea kulipa.
 
Kwa hawa waliomfuatia ni kweli ililipa..inalipa na itaendelea kulipa hata deni likiisha!

Uko mbali san a au umeelewa ulivyo elewa!
 
Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..

1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.

2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..

View attachment 906438

3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.

4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.

Sasa tuje kwenye nadharia:

5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448

6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.

7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*

8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..

9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.

Karibuni tujadili..

Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica

Mistari yako ni hakika. Nilimwambia MTU dhana ya kua ccm wamemtajirisha kijana sasa wanamgeuka. na habari 90,000 skua nayo. wala korosho. Ndio maana Ndungai anapiga ribit wabunge kwenye swala la hela za korisho

1. Hii ni hatari na aibu sana kwa nchi. Yani ametupunguza hadi nafasi ya chini kabisa. Wajibu wake wa kwanza ni Welfare of the people. Anavurunda credibility ya Bongo kulia na kushoto.

2. Bilioni 10, sinakosekanaje wakati Korosho wakulima wamekwisha katwa gharama za magunia kwenye mauzo. Ukiongezea kua Magufuli anaziwia Bilioni 200 za Wadau wa Korosho.

3. Aliahidi kupambana na Ufisadi. Fisadi kageuka yeye. Kuna msemo unasema "Kimburu akisikia vifaranga vinalia, huja akikimbilia, lakini sio kusaidia"

Mambo ya aibu na kusikitisha. Tafadhali asiteke mtu mwingine yeyote, hakuna mtuhumiwa mwimgine zaidi yake.

Katiba iliyopo hii inamshinda kulinda, ilhali imempa nguvu zisizo kawaida. hiyo inayopendekezwa atakubali? Nchi hii haiwezekani kuongoza bila kufuata katiba. Nadhani hili anatakiwa aelekezwe. Intellectually hawezi kuelewa katiba au niseme haielewi.
 
Hivi Serikali inashindwa kumchukua nani na kumsweka lupango mpaka ipie risasi juu 2 then imshikilie mateka..? Mwenyewe alisema wale watu walihitaji hela kwanini wewe bado unashinikiza magunia? Ingekuwa Serikali ina mkono tungemuona Makamba akihaha kutoa ufafanuzi kweli kuwa naye kahojiwa? tena Waziri ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira.
 
Swala unamkamata kwa grounds zipi?
 
Back
Top Bottom