Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Kwani siku hizi humu si salama tena??huu Uzi hautadumu
Kwani siku hizi humu si salama tena??huu Uzi hautadumu
Inawezekana akawa sawa maana Godfather inamaana nyingi mkuuKwa ushamba huu Labda Godfather wa chattle.... Acha kuwadhalilisha magodfather.
Kamsome tena vizuri Mario Puzzo
Maslahi ya nchi kwanza vingine baadae rip Jamal Khashogi. Za kuambiwa changanya na za kwako.Inawezekana akawa sawa maana Godfather inamaana nyingi mkuu
Ha ha ha! Mkuu shika yote, ukifika kilingeni nawe unga DotsHuyu anasema chanzo magunia huyu anasema amegoma kutoa gawio kwa kuwa analipa kodi nying nishike lipi hapa nikalitupe kilingeni???
Me yahn najua jiwe ndo kasuka mchongo ila chanzo ndo sijui ko nataka nondo za maana hapaHa ha ha! Mkuu shika yote, ukifika kilingeni nawe unga Dots
Hivi ni kwa nini LEAVING CERTIFICATES hazitolewi mashuleni sasa ni mwaka wa nne?Imekuaje uzi haujafutwa? Ama ni kweli nchi tupo kwenye anguko!
Tulia na ufanye kazo wewee acha porojoHuyu anasema chanzo magunia huyu anasema amegoma kutoa gawio kwa kuwa analipa kodi nying nishike lipi hapa nikalitupe kilingeni???
Fanya kazi kwanza uboreshe maisha yako halafu wanaume tutskushushia nondo za laana na madini yaliyoshehenMe yahn najua jiwe ndo kasuka mchongo ila chanzo ndo sijui ko nataka nondo za maana hapa
Hizo hela walipewa? Silaha husajiliwa. Polisi watakapotueleza mmiliki wa hizo silaha zilizotelekezwa, tutamjua mtekaji halisi, kinyume chake dots hizi zitaendelea kusimamaHivi Serikali inashindwa kumchukua nani na kumsweka lupango mpaka ipie risasi juu 2 then imshikilie mateka..? Mwenyewe alisema wale watu walihitaji hela kwanini wewe bado unashinikiza magunia? Ingekuwa Serikali ina mkono tungemuona Makamba akihaha kutoa ufafanuzi kweli kuwa naye kahojiwa? tena Waziri ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira.
wengi hufanywa msosi wa mamba au chatu kwa kuhofia hilo !!!Yooote yatakuwa hadharani siku sio nyingi
Hamnaga Siri chini ya jua
Siyo wote walioshiriki walipenda kufanya unyama ule Kuna wengine Wana roho za kibinadamu. Inawauma pia. Wataanika ukweli tuuu. Yote yatakuwa hadharani
Hapa tuwe makini sana mkuu, japo serikali na vyombo vyake vimetuaminisha vinginevyo ila ukweli ndo huo kwamba scenario hii hiii hivi........Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..
1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.
2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..
View attachment 906438
3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.
4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.
Sasa tuje kwenye nadharia:
5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448
6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.
7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*
8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..
9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.
Karibuni tujadili..
Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica
Tumia kichwa kufikiri na sio matako!!Hivi Serikali inashindwa kumchukua nani na kumsweka lupango mpaka ipie risasi juu 2 then imshikilie mateka..? Mwenyewe alisema wale watu walihitaji hela kwanini wewe bado unashinikiza magunia? Ingekuwa Serikali ina mkono tungemuona Makamba akihaha kutoa ufafanuzi kweli kuwa naye kahojiwa? tena Waziri ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira.
Shida ya MO ni kufinance lmatibabu ya Lissu.
Over
Na mimi sijui nikifungue tena ?Kichwa Changu Kimeanza Kufunguka Sasa