Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Ila dogo na mdingi wamewakamata vizuri kweli dola, bado bonde la Rufiji, sijuwi atatekwa tena?!
 
Sasa kama kweli inshu ya magunia tu ni mzigo kwetu, kwanini mkulima naye asilalamike anapigwa? Tuna safari ndefu hakika. Bilioni kumi??!
 
Sasa kama kweli inshu ya magunia tu ni mzigo kwetu, kwanini mkulima naye asilalamike anapigwa? Tuna safari ndefu hakika. Bilioni kumi??!
 
Ukijibiwa nitag!!

Hakuna mkubwa zaidi ya Serikali.
Hiyo hoja yako haina mantiki kwenye haya maelezo labda kama unataka kutuambia kwavile ni serikali basi ina uwezo na haki ya kudhulumu raia wake na ikibidi hata kuwateka na kuwatisha! Acheni kutetea ujinga kwa sababu hayana mmoja haya! Kama yaliyosemwa hapa yana ukweli a yanakaribia ukweli, sasa wewe na familia yako ni nani muweze kusalimika na mikono ya kifedhuli na kiharamia kama hii ikiwa hata mtu kama Dewji imeshamdhuru?! Miezi kadhaa iliyopita wapo ambao waliona kilichomponza Manji ni ujeuri wake! Sidhani kama Mo nae ni miongoni mwa wenye hizo jeuri! Kwahiyo endeleeni kuhalalisha ushenzi unaoendelea mkidhani nanyi mpo salama! Hakuna aliye salama! Hata wale waliotumbuliwa kwa madai ya vyeti feki ni miongoni mwa waliokuwa wanatetea ufedhuli kabla hayajawakuta! Matokeo yake, wanasaga meno huku mafedhuli wasio na vyeti kama wao wakiendelea kupeta tu! THINK!
 
Moyo wangu umesimama kwa muda nilibung'aa.. Kweli kuwa uyaone..haya maigizo kweli ni sirikali..wanafanya usanii tu ilimradi kuhadaa umma. Kwa nini wasingemuita waelewane?
Mkuu dot no. 5 & 6 zinaeleza kuwa hawakuafikiana ndio maana sirikali ikatumia ubabe wa kijinga ambao dot no. 8 inaelezea mafanikio yake.
 
Nasikia kumbe kuna hela baadhi ya wafanya biashara wakubwa waliombwa kila mmoja kutoa wenzake wakatoa yeye nasikia alisema hawezi kutoa hiyo hela maana analipa kodi nyimgi nnyetia kubwa hivyo akafanyiwa umafia huo.hii nimeipata sehem nyeti kwa mtu ambae kwa kweli alivyokuwa anaongea huenda kama kuna kaukweli maana hapo alipo ni sehem nyeti
...habari umeipata sehemu nyeti....
....hapo alipo ni sehemu nyeti.


Avatar yako nayo inatuonyesha nyeti.

BTW, thanks for adding another . mkuu.
 
Back
Top Bottom