Kaz gani hiyo mkuuHakuna kipind nnachojilaumu kufanya kaz ñnayoifanya kama sasa kipnd hiki
Au ndo nyie mmehenyeshwa 9 days pori kwa pori Beach kwa bich kumbe MO yuko mikono salama anasain mkataba kibabe
Kaz gani hiyo mkuuHakuna kipind nnachojilaumu kufanya kaz ñnayoifanya kama sasa kipnd hiki
Hii serikali ina mikono ya MUDA!!!!Nasikia kumbe kuna hela baadhi ya wafanya biashara wakubwa waliombwa kila mmoja kutoa wenzake wakatoa yeye nasikia alisema hawezi kutoa hiyo hela maana analipa kodi nyimgi na kubwa hivyo akafanyiwa umafia huo.hii nimeipata sehem nyeti kwa mtu ambae kwa kweli alivyokuwa anaongea huenda kama kuna kaukweli maana hapo alipo ni sehem nyeti
Alipoanza kwa kumshukuru rais tu, basi nikahitimisha dots zangu!
ahsante mkuu.Tumia kichwa kufikiri na sio matako!!
Hapa Kila Mmoja Atasema NYETI Alizoambiwa Haya Hebu Tumsome na Ngurumo Nae kwenye SAUTI KUBWA
*EXCLUSIVE*
*Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire’s wealth*
THE twist goes on in the abduction incident of the Tanzanian billionaire Mohammed Dewji (Mo), as new developments reveal a silent tug of war between top government officials and the billionaire regarding his wealth.
Sources close to Mo, have informed SAUTI KUBWA that in recent months he was undergoing intense pressure from the government to surrender huge plots of land adjacent to Stigler’s gorge – where the government is planning a 2,100 megawatts (2,800,000 hp) hydroelectric dam.
“Earlier plans to find a legal way of fixing him failed because of his clean record, so they resorted to forcing him to surrender part of his wealth. When he refused they resorted to punishing him this way, seeking ransom,” one of the sources said.
Government sources confirmed the same, adding that the matter had been once raised in a cabinet meeting, with President John Magufuli ordering Land and Settlements Minister William Lukuvi to take immediate action.
One senior minister offered to speak to the billionaire in order to make a smooth execution of the order. But Mo apparently refused to give in. He further told the minister that the same plots of land had been used as collateral for a huge loan from a foreign bank.
“This feedback infuriated the president even further,” one source told SAUTI KUBWA. The president was quoted as saying: “How can he brag as being a very wealthy businessman while he is using our land to borrow money from banks? He must relinquish it… and if he shows arrogance, I will deal with him.”
This president’s quote is similar to his other statements against “wealthy people.” Magufuli seems to nurse sadistic feelings against successful people.
And while some government sources had previously wished to distance the central government from this kidnapping incident, recent developments, plus the apparent silence of the president and prime minister, tend to give a clue about the source of kidnappers’ confidence in a highly guarded area, contradictory statements between police and regional authorities in Dar es Salaam, and the government’s refusal to engage external investigators.
Another highly positioned source informed SAUTI KUBWA that three days ago, at about midnight, the billionaire was moved from a secret location to Magogoni “on orders from above.”
The source added: “Certainly, the kidnappers have all blessings from above. Mo has so far refused to give them the ransom they want; so the big man said, ‘bring him here.’ I don’t know what is happening to him after that.”
Sources believe the government will eventually subdue him, and release him on tough conditions any time soon. They are currently planning a safe exit before calling the media to say “we got him.”
Simon Sirro, the Inspector General of Police, is planning to hold a press conference on Friday morning. This is the first time Sirro will be making a public statement since the billionaire was abducted on Thursday last week at Colosseum Hotel in Oysterbay.
Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire's wealth - Sauti Kubwa
Linapokuja interest ya nchi lolote lazima lifanyike au kama hujui subiri tu rip Jamal Khashogi.
Mkuu hivyo vitu tunavyovidharau ndivyo vinawafanya watu kama MO waendelee kuwa matajiri huku wengi wetu tusijue kama ni fursa. Kuwa na taarifa na maarifa sahihi ni muhimu.Hoja ya hovyo tu, magunia kwani shs ngapi?
Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..
1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.
2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..
View attachment 906438
3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.
4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.
Sasa tuje kwenye nadharia:
5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448
6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.
7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*
8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..
9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.
Karibuni tujadili..
Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica
Wakishakaa kwenye vitu vya kuzunguka wanajiona washayamaliza maisha..Mkuu hivyo vitu tunavyovidharau ndivyo vinawafanya watu kama MO waendelee kuwa matajiri huku wengi wetu tusijue kama ni fursa. Kuwa na taarifa na maarifa sahihi ni muhimu.
MO alishawahi kukili(in honest way) kuwa kupitia kwenye mkonge anachapa hela kopi,faida yake ni kufuru.
Mkuu Richard;Mkuu FisadiKuu,
Kuna mambo mengi katika hayo naona unayapindisha labda kwa makusudi au labda una malengo yako.
1. MO ni kweli anamiliki mashamba ya mkonge ya kiasi ulichotaja lakini si kweli kwamba anamiliki kihalali.
Mengi ya mashamba hayo ameyapata kwa njia zisizo rasmi na kisha kuyachukulia mikopo kwenye benki za nje kama dhamana
Nafikiri unafahamu kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na ndo maana akaambiwa arudishe sehemu ya mashamba hayo kwa wananchi ambao wengi hawana ardhi ya kulimia au kufanya shughuli zao.
Namba 2 - 4 nazo ni nadharia tu na sidhani kama walokwambia hayo wamefanya hivyo kwa malengo gani.
Tukija kwenye magunia na suala zima la importation naona bado unaonyesha tu kwamba kuna chuki za makusudi dhidi ya MO kutoka kwa serikali.
Mimi kwa uelewa wangu na kwa kufahamu uwezo wa MO naona suala liko hivi, na hili ni kutokana na alichokionyesha January Makamba kwenye masaa 48 yalopita:
1. Kuna mafuta mengi sana yaliingizwa nchini kati ya mwishoni mwa 2016 na mwanzoni mwa 2018 na kusemwa kuwa ni mafuta ghafi na yanakwenda kiwandani.
Badala yake mafuta hayo ambayo yalikuw ana utata na ubora wake yakaishia kwenye soko la rejareja na yakawa yanauzwa.
Mtindo huu upo siku zote na ulishamiri kwa miongo miwili na zaidi. rejea mada ya mada humu JF inayozungumzia sera za serikali ya awamu ya 3.
2. Pia kuna sukari nyingi sana ambayo iliingizwa nchini kati ya 2015-2017 ambayo ilisemwa kwamba ni sukari ghafi na ilikuwa kwa ajili ya kutengeneza vinywaji viwandani.
Lakini ukweli sukari hiyo ilikuwa ni sukari ya kawaida lakini ilikuwa imeisha muda wake kwa ajili ya soko la ndani la rejareja. Hali hiyo ilipekeka sukari za Mtibwa Sugar na Kagera Sugar kuozea kweye mabohari yao.
3. MO ni mfanyabiashara mkubwa sana na mwenye fedha lukuki kasi cha kuweza kuwa na akaunti nje ya nchi na kwingine.
Mimi kama nikiwa ni rafiki yake lakini nafanya kazi serikalini sitapenda nijulikane wapi naweka fedha zangu za kifisadi.
Hivyo kuna uwezekano mkubwa kabisa MO akawa alikuwa anatumiwa na baadhi ya wakubwa serikalini kuficha fedha zao ama nje ya nchi au ndani ya nchi.
Hivi sasa wakubwa hawa ambao ndo walikuwa wakimtumia MO kuna uwezekano mkubwa kwamba wanahaha usiku na mchana kutafuta nini kinafuatia.
Mwisho, MO inasemekana alitupwa na watekaji wake kwenye viwanja vya Gymkhana na akapewa simu na wasamaria wema ambapo aliwasiliana na familia yake.
Kitendo cha polisi kumhoji January Makamba ni katika kutaka kufahamu ni kitu gani waliongea kati yake na MO kabla ya polisi hapo ndipo penye tatizo.
Wewe jiulize iweje awe January Makamba pekee ambae ana uwezo wa kutambua kwamba MO yupo nyumbani amepatikana?
Wataka kuniambia kwamba familia ya MO ilimjulisha MO kwanza badala ya kuwapigia simu polisi na kuwajulisha juu ya utokeaji wa MO.
Mimi hapo naamini kwamba huenda MO alitekwa na kisha akaachiwa ajitokeze.
January Makamba akiwa "clear" na hilo (jambo ambalo nalitilia shaka) basi atakuwa yuko sawa.
Familia yake hiyo ndo walokuwa wa kwanza kumwona MO na kumchukua kisha kumpeleka nyumbani na kisha January Makamba akawa wa kwanza kumwona na kumjulia hali.
Kisha January Makamba akaja kwenye social media na kusema aloyasema kwamba amezungumza na MO kwa dakika 20 na yupo mzima wa afya.
Mkuu Richard;
Familia ya Mo na Makamba ni marafiki wa kipindi kirefu. January kupata taarifa mapema ni kutokana na ukaribu wa familia zao.
Suala la sukari, mafuta ya kula kama ni kweli ni dhahiri Mo alifanya makosa, alivunja sheria hivyo kusingekuwa na nguvu ya kumteka bali wangeenda front..
Suala la ardhi either amelipata kwa kuiba/ubabe/ufisadi ni matokeo ya makosa ya serikali ya CCM huko nyuma hivyo kusingehitaji ubabe aliofanyiwa ili tu arudishe ardhi hiyo.
Suala la magunia ni la kweli kabisa, ingawa pia nakubaliana na mengine uliyoyasema inawezekana pia hayo yametumiwa pia ili kunegotiate the deal..