Kutimiza yoote unayopaswa kutimiza hasa kumgegeda vizuriHili swala limekuwa Gumzo kwa sasa katika jamii yetu kuanzia vijana mpaka watu wazima haijalishi we ni nani upo wapi una cheo gani,limekuwa likisababisha changamoto mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Sema chochote,uliza chochote kama kuna lolote limewahi kukutokea Hapa ndio pa kuelezana....lengo watu tujifunze kutokana na changamoto hiii Ahsanteni. Naanza na swali langu mwenyewe,Hivi kitu gani hasa tunaweza kuwafanyia wenza wetu ili waache kuchepuka?
ni kweli mkuu ingawa hutaeleweka na wengi ila wanaume ni polygamous by natureKuwa na mahusiano na zaid ya mwanamke mmoja ni tabia ya mwanaume kiasili hvyo wengi tunachepuka ukiondoa some minority groups lkn a man cant be satisfied by one woman ndio maana haihitaji mchepuko kuwa mrembo zaid au kumzid vigezo njia kuu ili kuchepuka.... unaweza kuta mtu anamke mzuri hatar na akachepuka na demu wa ajabu mpka unajiuliza hii inawezkana vp…? lkn hii tabia ni ya asili kwa mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IMEANDIKWA ;
MWANAUME NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUCHEPUKA TU!!
NA MWANAMKE AKAE NYUMBANI TU ASUBIRI KUGEGEDWA TU.
mchepuko 3: mstari wa 2
Wanachepuka na nani? Kama ni wanawake hata hao wanawake wanachepuka Sena wanawake huwa hawasemi hadharani sababu ya mila na tamaduni. So msijidai kama mambuni mnaficha kichwa kwenye mchanga kiwiliwili kiko nje. Muosha huoshwa.Kuwa na mahusiano na zaid ya mwanamke mmoja ni tabia ya mwanaume kiasili hvyo wengi tunachepuka ukiondoa some minority groups lkn a man cant be satisfied by one woman ndio maana haihitaji mchepuko kuwa mrembo zaid au kumzid vigezo njia kuu ili kuchepuka.... unaweza kuta mtu anamke mzuri hatar na akachepuka na demu wa ajabu mpka unajiuliza hii inawezkana vp…? lkn hii tabia ni ya asili kwa mwanaume
Mwisho wa kuchepuka ni upate hili gojwa letu pendwa ali maarufu NGWENGWE hapo lazima mtu mtu huwa mpole.