Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,
Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.
Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie PM ili kupata flash yako.