Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,505
- 41,175
Mkuu umeshapata ajira au unatusengenya tu hapa..??Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
Ni kweli mkuu.Kwenye wengi hapakosekani hao watu
Sio wote watakua negative focus na wale wenye kutoa mawazo yatakayo kusaidia
Focus kwenye mada mkuu. Kuuliza masuala binafsi binafsi iwe ni kwa lengo la kutoa msaada. Ukimuuliza mtu "una kazi/ajira?" akikisha akikujibu hapana basi uwe na njia ya kumsaidiaMkuu umeshapata ajira au unatusengenya tu hapa..??
Sijaongelea peke angu nimeongelea kwa ujumla kutokana na mada na comment za wachangiaji ninazokutana nazo humuKwani wewe hapo umeleta jambo gani?
Kuuliza si ubaya nami nataka ajira kama ukipata mkuu mbona umekuwa mkali...😅Focus kwenye mada mkuu. Kuuliza masuala binafsi binafsi iwe ni kwa lengo la kutoa msaada. Ukimuuliza mtu "una kazi/ajira?" akikisha akikujibu hapana basi uwe na njia ya kumsaidia
[emoji3][emoji3][emoji3]Kejeri [emoji808]
kejeli [emoji3581]
Nimetafuta sana sehem ya kukukosoa haikua rahisi ila nashukuru nimepata
Kweli kabisa. Inaonekana jf imevamiwa kwa wingi na vijana fulani hivi wenye utoto toto.Jf ya sasa haina utofauti na facebook. Siku hizi hatujadili mambo muhimu, ni kama genge flani hivi la kahawa hahahaaa....
Huo ni ushauri ukiangalia kwa jicho chanya kuna madini kwenye huo ushauriMtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Ajira rasmi bado sijapata naishi kwa deiwaka maisha yasogee tu, am still struggling financially. Nikitoboa basi pale nitakapopata nafasi ya kuwashika mkono wengine nitafanya ivyo mkuu kama nikikukumbukaKuuliza si ubaya nami nataka ajira kama ukipata mkuu mbona umekuwa mkali...[emoji28]
Na wao wanajiita Great thinker hahahaaa....Kweli kabisa. Inaonekana jf imevamiwa kwa wingi na vijana fulani hivi wenye utoto toto.
Sijajiongelea mimi nimeongea kwa ujumla kulingana na mada na comments ninazoziona hapa jf. Ingawa na mimi pia nishakutana na bullying kadhaa hapa jf.wewe ulihitaji ushauri au faraja mkuu
usitilie manani sana mambo ya mtandaoniSijajiongelea mimi nimeongea kwa ujumla kulingana na mada na comments ninazoziona hapa jf. Ingawa na mimi pia nishakutana na bullying kadhaa hapa jf.