Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

Hell

Leo tutengeneze ubuyu mzuri wa zanzibar ukiwa nyumbani kwako

Hatua ya kwanza utaanda shila ambayo ina husisha maji na sukari maji yawe kidogo sukari iwe nyingi
View attachment 3406619
Kisha shila ikishakuwa nzito sana una weka food color mimi nime tumia nyekundu
View attachment 3406621
Baada ya hapo uta mimina shila kwenye ubuyu wako pembeni kisha utaweka barking powerd na pilipili kama utapendelea pilipili
View attachment 3406622
Kisha uta changanya pole pole mchanganyiko ili uwe vizuri
View attachment 3406623
Na unaona ubuyu wangu una onekana kama ivyo hii una fanya ukiwa nyumbani kupunguza stress na kuifanya nyumba yako isi kosekane kitu cha kutafuna yaan kuchanga msha mdomo

Pia una weza fanya biashara pia kupitia hii tu tupo hapa kujifunza na kuongeza mahalifa ambayo wengine hawana wengine wana yapata kwa kulipia mimi natoa bureeee injoy
Tunaopenda kutafuna kujua hivi vitu muhimu
Tutafanya kolabo one day 🤣🤣
Thread iwe nzito humu Jf
Nuzulati atakuwa kitengo cha kachumbari 😂
Evelyn Salt atabeba salt arushie rushie
 
My dear Sio kwa Raha hizi,I love u soooo much Pokea kumbato la upendo Mwachi wangu nakupendaaa💕💕💕💕💕
Nakupenda more beautiful wangu napokea kwa tabasamu kubwa sana siwez ishi bila wewe kabisa 😘
 
Back
Top Bottom