Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #41
Try itSawa mkuu na nimejua
Try itSawa mkuu na nimejua
utaona wazazi wake hawaku take advantage 😂😂Why nisikubali 😂
haitatokea kamweeee humu jf hata mwanamke sidhani kam yupo anaekufikia😂Wapinzani wana kuja soon
Ila lazima kuna kitu kitakuwa kimenivutiautaona wazazi wake hawaku take advantage 😂😂
Kwaio kuhusu kupika itakua kazi akoIla lazima kuna kitu kitakuwa kimenivutia
Kaolewa au bado?
KabisaKwaio kuhusu kupika itakua kazi ako
Sina uhakikaKaolewa au bado?
Naomba kuuliza mpendwa hivi kweli we ni Mwanaume au jinsia kama yangu maana unaweza kupika kuliko hata mimi😀
Mwanaume au nitume voice note 😂Naomba kuuliza mpendwa hivi kweli we ni Mwanaume au jinsia kama yangu maana unaweza kupika kuliko hata mimi😀
Mi nikisoma mada zako huwa siamini kama ni Me kwa kweli yaani unajua kupika mpaka ubuyu🐒🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Mwanaume au nitume voice note 😂
Vitamin cHivi haya mabuyu yana food value gani?
Ni maarifa tu na kipaji tu af ukuwa free ina pendeza ufanye kitu kike una pendaMi nikisoma mada zako huwa siamini kama ni Me kwa kweli yaani unajua kupika mpaka ubuyu🐒🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hivi umesomea au elimu hii kakufundisha nani?Ni maarifa tu na kipaji tu af ukuwa free ina pendeza ufanye kitu kike una penda
No sijasomea nimejifunza nyumbaniHivi umesomea au elimu hii kakufundisha nani?
Apewe hongera aliye kufundisha maana Wanaume wa Kiafrica na jiko ni vitu viwili tofauti japo siamini kama jinsia yako ni Me(sorry)No sijasomea nimejifunza nyumbani
Ahahha hivi humu kila mtu aamini sasa nitaacha kuweka hizi thread 😂Apewe hongera aliye kufundisha maana Wanaume wa Kiafrica na jiko ni vitu viwili tofauti japo siamini kama jinsia yako ni Me(sorry)
Hapana weka naamini wengi wana amini ila mimi pekee eti kichwa kimegoma kukubali ukweli unao nieleza😁😁Ahahha hivi humu kila mtu aamini sasa nitaacha kuweka hizi thread 😂