Wapi umefunga pmNicheki
Ukisikia neno "Soulmate" hapa ndo limefika mahala Pake🤗🤗🤗🤗Namuonea wivu mke wa Mwachiluwi 😂
Ahaha 😂Sitaki utani kwenye anga zangu!
We ukajua unafanywaje?Ubuyu kutengenezwa ndio nasikia leo
KupikaUbuyu kutengenezwa ndio nasikia leo
MhmmKupika
Unavunwa kwenye mitiWe ukajua unafanywaje?
🤣🤣🤣 nannume alage! Sawa.Sasa wewe si mwansume unatak upewe utamu hakikisha una bembeleza
Ukivunwa lazima utiwe manjonjo kidogo kumvutia mlaji!!!Unavunwa kwenye miti
Dah 😂Mwanaume unakula ubuyu hadi kuutengenez wajua umenishinda tabia
NajivunzaUkivunwa lazima utiwe manjonjo kidogo kumvutia mlaji!!!
Halafu wewe kipindi ulikuwa na hela nikakulengesha kwa Mary ukachomoa,zimekuisha kutwa kumfungulia thread Mungu anakuona🙁🙁🙁🙁🤣🤣🤣 nannume alage! Sawa.
Amina Yesu akulinde na damu ya kristi ikufunike ukilala jua nakupenda usiache kuniombeaUsiku mwema Baba Uswege ulinzi wa ki Mungu ukatamalaki mahali hapo ulale salama!!!