shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,210
- 10,619
Amina kipenzi!!Amina Yesu akulinde na damu ya kristi ikufunike ukilala jua nakupenda usiache kuniombea
Amina kipenzi!!Amina Yesu akulinde na damu ya kristi ikufunike ukilala jua nakupenda usiache kuniombea
Na zawadi yako ingia pmAmina kipenzi!!
Ni asili ilivyo ukipewa hela unanyimwa upendo halisi kutoka moyoni.Halafu wewe kipindi ulikuwa na hela nikakulengesha kwa Mary ukachomoa,zimekuisha kutwa kumfungulia thread Mungu anakuona🙁🙁🙁🙁
Cameraman na muonjaji ni mimi 🤣😂😂😂 na wewe utakuwa na kazi gani?
Wew utatupigia picha zenye kushekisgekiCameraman na muonjaji ni mimi 🤣