Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

💓💓💓💓The same to me,punguza dozi kidogo utafanya niwe kibonge kwa haya mahaba ushindwe kunibeba laazizi wangu🤗🤗🤗🤗
Ukikonda watasema nakunyanya acha nikupe kile kitu roho inapenda si una jua mchuchu wangu umejaa wewe kwenye moyo
 
My dear Sio kwa Raha hizi,I love u soooo much Pokea kumbato la upendo Mwachi wangu nakupendaaa💕💕💕💕💕
 
min -me na wewe tuelekeze jinsi ya kutengeneza konyagi nyumbani ili tusikose kinywaji.
Kamua juice ya nanasi then weka kwenye birika , kwenye mdomo wa birika funga ka bomba kenye mdomo wa kutoa tone tu , tumbukiza kwenye chombo ulichokifunga vizuri kisitoe hewa , then weka birika kwenye mkaa wa moto .

Juice yetu itachemka na kupandisha mvuke kwenye ka bomba , na kudondosha matone kwenye chombo ulicho kizuia hewa isipite , subiri mpka upate matone ya kutosha , then weka sukari , itaendelea........
 
Ulishawahi kuona jinsi wamama wa vijijini wanavyotengeneza gongo no.1??
 
Kamua juice ya nanasi then weka kwenye birika , kwenye mdomo wa birika funga ka bomba kenye mdomo wa kutoa tone tu , tumbukiza kwenye chombo ulichokifunga vizuri kisitoe hewa , then weka birika kwenye mkaa wa moto .

Juice yetu itachemka na kupandisha mvuke kwenye ka bomba , na kudondosha matone kwenye chombo ulicho kizuia hewa isipite , subiri mpka upate matone ya kutosha , then weka sukari , itaendelea........
Utashangaa kesho Mwachiluwi anakuwa Moonshiner 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom