shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,797
- 13,463
Kila la heri kijana,Kula ni starehe,rusha kete zako vizuri upate kustareheshwa na binti kwa misosiš¤š¤š¤š¤acha mamaa huyo Binti anapika sio poa
Kila la heri kijana,Kula ni starehe,rusha kete zako vizuri upate kustareheshwa na binti kwa misosiš¤š¤š¤š¤acha mamaa huyo Binti anapika sio poa
Ngoja nione kama ni rizkišKila la heri kijana,Kula ni starehe,rusha kete zako vizuri upate kustareheshwa na binti kwa misosiš¤š¤š¤š¤
Tuko nyuma yako kijana asipoeleweka tunamuendea kwa sangoma!Ngoja nione kama ni rizkiš
Ukishindwa hy rafiki we pikaga MAJUNGU japo sio mtajiMungu anipe hii passion ya upishi
Leejay49 umeweza