mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,412
- 5,154
Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo.
Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana kutoka kwenye uhalali wa serikali yetu na Yale mambo ya oct29 na kuwafanya wajikite katika kutoa kero za maji, bei ya vyakula kupanda na umeme..Hapo ndipo tujitokeze na kuruhusu maji na umeme kurudi kama zamani, na kuruhusu vyakula kuingia mijini.Mwisho watatuona mashujaa na kuanza kutuamini upyaaa.
NB: MIJITU MIJINGA JINGA SANA INATUONGOZA