Tutembelee

Tutembelee

pincode

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
89
Reaction score
24
habarini wanajukwaa,matatizo ya computer na teknolojia ni makubwa hasa huku kwetu,hivyo kwa kuonelea hilo tumekuwa na web yetu ambayo inafundisha hatua kwa hatua za jinsi ya kutatua matatizo cronic ya computer,uchambuzi wa softwares hata urekebishaji wa hardware pitia hapa uone complexsystem.net karibuni tuchangie ujuzi
 
Wazo nzuri Mkuu, lakini website kama hizi zipo milioni kwenye mtandao tatizo ni lugha tu kwa watumiaji wengi wa kawaida, ningekushauri chambuzi zenu ziwe katika lugha ya kiswahili au mchanganyiko lakini kiswahili ndio zaidi, tunahitaji zaidi mambo haya katika lugha yetu. Ni wazo tu usije ukarusha ngumi bure!
 
Back
Top Bottom