Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,503
- 86,053
Tutegemee kuona wabunge kama hawaView attachment 11353
hasa kwa wabunge wa THITHI Na EMU
hasa kwa wabunge wa THITHI Na EMU
SAFARI ZAIDI je?
Kazi ya Urais haina elimu ni kujiamini au kuaminiwa. Nimefanya kazi miaka mitano, miaka miwili ilikuwa ya kujifunza na miaka mitatu nikafanya kazi nzuri mnayoiona, mkinipa sasa miaka mingine mitano haitakuwa ya kujifunza ila kufanya kazi nzuri zaidi naahidi mkinichagua nitafanya kazi vizuri kuliko awamu ya kwanza, alisema Rais Kikwete.