Tutegemee nini baada ya kikao cha kamati kuu ya ccm leo?

Don Alaba

Senior Member
Nov 3, 2010
167
18
kamati Kuu ya CCM, leo inakutana jijini Dar es Salaam, Huku Chama kikikabiliwa na mtihani wa kutanzua baadhi ya migogoro ya chini chini inayowahusisha baadhi ya makada wake pamoja na matukio makuu ya kisiasa yaliyojitokeza nchini.
 
Tutegemee yale yale ya wanachama wa ccm kuwa na kauli ya pamoja kubariki malipo kwa Dowans :car::car:
 
Utasikia yafuatayo........kamati kuu ya ccm imeridhia uamuzi wa dowans kulipwa
 
Ruzuku inatosha sana, ila ulafi wa wachache wao kujilimbikizia.....kwani cdm inafanyaje, mbona inaruzuku kdogo sana, ahahah!!!! Ulaji wa wazee kuupunguza wanashindwa hivyo ziumiazo nyika.
 
Kifuatacho ni kuwashikisha adabu wapinzani,kuhusu kile wanachodai ni uchocheziiiiii
 
1.Tutegemee tamko la kupongeza ujasiri wa polisi walioua watu huko arusha
2. Tutegemee tamko la kulaani wana ccm PAMOJA NA WENGINE wote wanaopiga tanesco kuwalipa dowans
 
Wazir ngelej ccm,mwanasheria mkuu chaguo la rais wa ccm, serikal inaongozwa na ccm.what new should we expect then.ila tunapashw kuwaambia kuw wakikubal kuwalipa DWNS bas watumie pesa za makada wa ccm ci za wananch wote.
 
Back
Top Bottom