Tutegemee nini baada ya kikao cha kamati kuu ya ccm leo?

jaribuni kuweka sawa vichwa vya habari zenu ili kurahisisha mambo maana nikajua unataka kutupa sisi taarifa kumbe wewe ndio unahitaji taarifa!
 
hivi wewe na mwiba wote ni great thinker? Nina mashaka mmeingia choo cha kike-jf siyo mahali penu, labda kwenye taarabu za mkwere kila ijumaa

mwiba -hutaweza kubadili roho na uelewa wa great thinkers ndani ya jf-labda nikupe mifano michache ya mafanikio ya chadema,

1. Vita ya ufisadi -moto umeshika kasi ni ilani ya chadema siyo ccm -mnadandia lazima mtaanguka lini -ili kuonesha hampo makini na hili mkwere na ccm waliwapigia debe mafisadi wenzio-mfano mramba

2. Vita ya kuandika katiba mpya -ipo kwenye ilani ya chadema haipo kwenye ilani ya ccm msivyokuwa makini-mnakurupuka tuu, yes madai yalianza siku nyingi lakini why now reason chadema. Unalijua hilo kawaulize werema na celina walivyokuwa wanajua

3. Vita ya malipo ya dowans na sakata zima la dowas/richmond -slaa aliwambia mkwere anamkono pale mkamjia juu kwa matusi sasa uvccm wamekuja juu -hivi hapa nani kama limbukeni inachekesha kweli slaa anawatisha.

4. Afya na elimu bure- ilani ya chadema -hii mtaiga tuuu mpende msipende

5. Kupinga uchakachuaji -huo ni msimamo wa chadema

6. Makazi bora -kamulize mkwere ameanza na kwao bagamoyo amewambia waanze kujenga nyumba bora alikuwa wapi 5years? Nani limbukeni?

7. List of shame -ni msimamo wa dr slaa na chadema miaka yote mpaka wote waachie ofisi za umma.

Haya jamaa yako anaedai chadema inaongozwa na watu ambao hawakusoma

kama unaweza na wewe ni great thinker
weka hapa profile ya
mkwere vs mbowe
makamba vs dr slaa

harafu tuone kati yao nani kasoma zaidi ya mwenzake tunakuruhusu uweke na degree za kununua udom na muhimbili baada ya kuporoka misifa.
Usikurupuke kuandika usilolijua shule ya slaa huwezi hata kidogo kulinganisha na mkwere na msanii/ mropokaji makamba.

Waulize wanaofanya tathmini ya uchaguzi aliyeanguka zaidi ya alivyotegemea ni nani -usikurupuke kuandika-chukua chako mapema imechakachua ubunge shinyanga mjini, segerea, karagwe, kibaha, sumbawanga, kigoma mjini, bukoba mjini, mbeya vijiji.

Next time usikurupuke kuandika utumbo -chadema inakua kwa kasi na inaongozwa na nguvu ya umma.
 
Kuna mada mpya ndani ya mada hapa au?
 
jaribuni kuweka sawa vichwa vya habari zenu ili kurahisisha mambo maana nikajua unataka kutupa sisi taarifa kumbe wewe ndio unahitaji taarifa!

Mimi ndio nimechoka kabisaaaaa! mambo ya kukurupuka kurupuka haya matokeo yake unakuwa kama Uvccm, tujipe muda kwanza wa kusoma kile tunachoandika kabla ya kupost, na ipo sehemu ya editing hapa chini, sasa papara za nini? by the way siko interested kujuwa chochote kuhusu vikao vya ccm. nothing new will come out.
 
hivi wewe na mwiba wote ni great thinker? Nina mashaka mmeingia choo cha kike-jf siyo mahali penu, labda kwenye taarabu za mkwere kila ijumaa

mwiba -hutaweza kubadili roho na uelewa wa great thinkers ndani ya jf-labda nikupe mifano michache ya mafanikio ya chadema,

1. Vita ya ufisadi -moto umeshika kasi ni ilani ya chadema siyo ccm -mnadandia lazima mtaanguka lini -ili kuonesha hampo makini na hili mkwere na ccm waliwapigia debe mafisadi wenzio-mfano mramba

2. Vita ya kuandika katiba mpya -ipo kwenye ilani ya chadema haipo kwenye ilani ya ccm msivyokuwa makini-mnakurupuka tuu, yes madai yalianza siku nyingi lakini why now reason chadema. Unalijua hilo kawaulize werema na celina walivyokuwa wanajua

3. Vita ya malipo ya dowans na sakata zima la dowas/richmond -slaa aliwambia mkwere anamkono pale mkamjia juu kwa matusi sasa uvccm wamekuja juu -hivi hapa nani kama limbukeni inachekesha kweli slaa anawatisha.

4. Afya na elimu bure- ilani ya chadema -hii mtaiga tuuu mpende msipende

5. Kupinga uchakachuaji -huo ni msimamo wa chadema

6. Makazi bora -kamulize mkwere ameanza na kwao bagamoyo amewambia waanze kujenga nyumba bora alikuwa wapi 5years? Nani limbukeni?

7. List of shame -ni msimamo wa dr slaa na chadema miaka yote mpaka wote waachie ofisi za umma.

Haya jamaa yako anaedai chadema inaongozwa na watu ambao hawakusoma

kama unaweza na wewe ni great thinker
weka hapa profile ya
mkwere vs mbowe
makamba vs dr slaa

harafu tuone kati yao nani kasoma zaidi ya mwenzake tunakuruhusu uweke na degree za kununua udom na muhimbili baada ya kuporoka misifa.
Usikurupuke kuandika usilolijua shule ya slaa huwezi hata kidogo kulinganisha na mkwere na msanii/ mropokaji makamba.

Waulize wanaofanya tathmini ya uchaguzi aliyeanguka zaidi ya alivyotegemea ni nani -usikurupuke kuandika-chukua chako mapema imechakachua ubunge shinyanga mjini, segerea, karagwe, kibaha, sumbawanga, kigoma mjini, bukoba mjini, mbeya vijiji.

Next time usikurupuke kuandika utumbo -chadema inakua kwa kasi na inaongozwa na nguvu ya umma.

Mkuu hii ungeweka sehemu yake may be mafanikio ya chadema.....
 
Hapa ndio umuhimu wa FMES Mzee wa data za CC unaonekana
 
Salama ya chama cha mauaji ni kutekeleza ilani ya cdm ambayo ndio wtz walio wengi walichagua kabla kura hazijachakachuliwa,vinginevyo niagieni kufika 2015 tia maji tia maji
 
Back
Top Bottom