Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
- Thread starter
- #41
Kama tozo zimeliwa huyo aliyezila atakuwa tajiri sana.Hivi kipindi hazipo tulizidai hizi tozo?
Wenzangu mmeona mabadiliko chanya yaliyotokea baada ya tozo?
Mnajua Serikali imekusanya kiasi Gani Cha pesa Hadi Sasa zitokanazo na tozo?
SERIKALI ilikuwa inajiendesha vipi kabla ya tozo?
Ni kweli hakuna njia mbadala ya kukusanya tozo?
NB: MTOA MADA USIPOTOSHE UMMA