Whatever you name It, tozo si lipi Congo. Ni nchi yangu nitalipa bila kinyongo.
Najua fedha nayo katwa inapeleka maji vijijini, inapunguza umbali wa watanzania wenzangu wanaotembea mwendo mrefu kufuata elimu, najua tozo nayokatwa ina mtua mmama / mwanamke wa kitanzania ndoo kichwani.
Kila napopita kwenye barabara mpya ya lami huwa najua ni sehemu ya Kodi/ tozo niliyochangia
Mwisho najua tozo nayokatwa inatengeneza ajira kwa vijana wa kitanzania wanaomaliza vyuo kupitia ujenzi wa shule mpya, ujenzi wa vituo vya vipya afya.
Sent using
Jamii Forums mobile app