Are you serious??? Serikali ikishindwa kukusanya kodi ama kubuni mbinu ya kukusanya kodi inatakiwa ije na mbinu zisizo na kichwa wala miguu??? kwa huduma yoyote unayoipata iwe kununua kitu dukani etc serikali inapata kodi, hiyo serikali inabidi iwe na mbinu ya kuchukua kodi yao, Wanalipwa pesa nyingi ili waweze kuja na solutions za vitu kama hivi, sio kuja na mbinu kandamizi kisa tu wameshindwa kufikiri.Dhumuni la tozo lilikuwa ni kupunguza mzigo uliokuwa umebebwa na wachache kulihudumia taifa ambao kimsingi hawafiki hata 3m, naposema wachache namaanisha wale wote wenye TIN number waliokuwa wana namba za mlipa kodi iliyokuwa inatumika kuhudumia watu 60m.
Kumbuka katika hao wenye namba ya mllipa kodi wengine malipo yao wanafanya kwenye kurenew leseni tu za udereva.
Asilimia kubwa ya wanaohitaji huduma za msingi sio walipa kodi yaani kiufupi ni watumiaji bila kuchangia, tozo ililetwa kuongeza wigo wa wachangia maendeleo.
Kuhusu faida za tozo ambao tumefanikiwa kutembelea maeneo ya vijijini tuna mengi ya kusema, shule, vituo vya afya, maji ni vitu ambavyo tumevishuhudia kwa kipindi kifupi sana. Naimani tozo ingeendelea tungeumia kwa muda ila matokeo yake yange kuwa makubwa makubwa zaidi.
Cha muhimu tungeweka nguvu kuionya serikali kuhusu matumizi ya anasa ya fedha zetu kuliko kuipinga tozo. Kuchangia tozo kwangu nilikuwa naona ni fursa ya wananchi kushirikishwa kwa wingi kwenye ku finance miradi yao.
Nacho fahamu kuna badhi ya tozo hazitatoka hata kwa bunduki, Tarura fedha yao ipo kwenye mafuta.
Haina kichwa Wala miguu ndio nini?Are you serious??? Serikali ikishindwa kukusanya kodi ama kubuni mbinu ya kukusanya kodi inatakiwa ije na mbinu zisizo na kichwa wala miguu??? kwa huduma yoyote unayoipata iwe kununua kitu dukani etc serikali inapata kodi, hiyo serikali inabidi iwe na mbinu ya kuchukua kodi yao, Wanalipwa pesa nyingi ili waweze kuja na solutions za vitu kama hivi, sio kuja na mbinu kandamizi kisa tu wameshindwa kufikiri.
Tumeona Sana tuu mojawapo ni kama hivi huku Vijijini kwetu👇Hivi kipindi hazipo tulizidai hizi tozo?
Wenzangu mmeona mabadiliko chanya yaliyotokea baada ya tozo?
Mnajua Serikali imekusanya kiasi Gani Cha pesa Hadi Sasa zitokanazo na tozo?
SERIKALI ilikuwa inajiendesha vipi kabla ya tozo?
Ni kweli hakuna njia mbadala ya kukusanya tozo?
NB: MTOA MADA USIPOTOSHE UMMA
Tatizo sio Tozo tatizo ni serikali kukurupuka kuanzisha kitu bila kuwaandaa wananchi kisaikolojia na kuwaelimisha na kujadiliwa bungeni.Ajabu sasa baada ya muda mfupi unasikia tozo imetolewaSio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mla tozo !!Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app

ndio hiyo hiyoHaina kichwa Wala miguu ndio nini?
Kwa akili yako unadhani huwa unatolewa msaada? Just for free yaani! Endelea kuamini hivyo mkuu.
Hizo tozo zimeondolewa wapi? Alafu kabla awamu ya Samia tulikuwa tunaishije? Tena awamu hii pamoja na hayo matozo hali imezid kuwa ngumu zaidi ya awamu zote.Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtanzania ambaye halipii gharama ya matumbo ya walamba Asali ?Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Chawa wanauma sana.hii nchi sineMa kila siku
Mtayakumbuka maV8 yenuSio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi bwana mapanki ila watu wa Mjini hawawezi kuzikumbuka maana wao siku zote huwa wanatumia jasho na rasilimali za Vijijini kujenga Miji yao na kujinufaisha..
Kimsingi Tozo zimefanya mambo makubwa na zilikuwa game changer Sana kwenye maendeleo ya Vijijini hususani huduma za afya,elimu,Maji na Barabara..
Pia tozo zimelipia watoto mikopo ya Elimu ya Juu nk ila kwa nimewalaumu Sana wabunge wa Maeneo ya Vijijini wameshindwa kutetea jambo linalowanufaisha watu wa maendeo ya kwao..
Hii Nchi ina shida ya watu kutolipa Kodi na njia mojawapo ya kupata pesa kule walikokwepa ilikuwa ni tozo lakini jambo likaonekana ni la Mwigulu as if Mwigulu ndio anaishi Vijijini au watoto wake wanasoma shule za kata..
Mwisho ni kwamba huyu Rais anawadekeza Sana Hawa watu ndio maana wanapinga initiative ya Maendeleo,unajiuliza nani awaletee Maendeleo?
Vipesa vyenyewe vya Makati hakuna cha maana watu watafanya maana ni vihela vidogo kwa individual level tofauti na Serikali ikizikusanya zinakuwa nyingi na zinaleta maana..
Kiujumla Serikali imeniudhi Sana kwamba sie wa Vijijini hatuna maana,futeni basi na tozo ya mafuta ya Tarura Ili turudi kule kule kwa mwanzo tuone..
Tanzania hapa 65-70% ya wakaazi wanaishi Vijijini..😂😂😂😂😂😂😂 Dah mkuu kwaio kijijini ndio wanatozwa tozo sana? Duniani kote asilimia 60 mpaka 80 ya mapato yote ya serikali yanatoka mjini