MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Nisaidieni Jibu Tafadhali, Naamini Humu Hamtashindwa
Kabisa mkuu,nataman jf wafanye mchujopeleka huu upuuzi shule za msingi
Learn the Power Of being Silentpeleka huu upuuzi shule za msingi
17Nisaidieni Jibu Tafadhali, Naamini Humu Hamtashindwa View attachment 778139
Aibu kwa mwl wakokeki ni 10
ndizi ni 1*2=2
saa ni 3
sasa chukuwa MAGAZIJUTO
3+1+(1×10)=
3+1+10=
4+10=
14 ans
NACTE njoeni msahihishe jibu langu


Nitake radhi mkuu. Nimesoma pure mathematics nishindwe kachemsha bongo kadogo hivi???Ww na hesabu wap na wap![]()
![]()
![]()
Saa ni 2 jumlisha ndizi moja jumlisha ndizi moja, jibu ni nne, mara keki ambayo ina nukta 7.
=

A sio sawa na B, hvyo hauwez kuchukua namba ya A na ukaenda kuitumia katka B ili upate jbuNitake radhi mkuu. Nimesoma pure mathematics nishindwe kachemsha bongo kadogo hivi???
A sio sawa na B, hvyo hauwez kuchukua namba ya A na ukaenda kuitumia katka B ili upate jbu
Hyo chemsha bongo haina jbuView attachment 778192