Tutarusha mkutano live toka Arusha

Tutarusha mkutano live toka Arusha

Arusha Mambo

Senior Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
174
Reaction score
150
TAARIFA KWA WANA JAMII:

Arusha Mambo itatangaza moja kwa moja [Live] mkutano wa CHADEMA kutoka Arusha kuanzia saa 8 Mchana, visit www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM......" page ya tunein ikifunguka click LIKE ili kusikiliza,

Source: Arusha Mambo.
 
Chadema waanzishe tv ,tumechoka kudandiadandia kwenye station mchwara.
 
Tujuzeni kama kuna local FM radio station ita tangaza live
 
Chadema waanzishe tv ,tumechoka kudandiadandia kwenye station mchwara.
 
Big Up Arusha Mambo unatusaidia sana sisi tulio mbali, hii ndio maana ya teknolojia.
 
TAARIFA KWA WANA JAMII:

Arusha Mambo itatangaza moja kwa moja [Live] mkutano wa CHADEMA kutoka Arusha kuanzia saa 8 Mchana, visit www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM......" page ya tunein ikifunguka click LIKE ili kusikiliza,

Source: Arusha Mambo.

Mkutano wa Chadema Arusha ni lini na saa ngapi Uwanja umesema ni NMC
 
Ni kweli siyo swala la kudandia tu, Chadema wajiandae kwa 2015 maana Lowasa ana redio na Tv huko Arusha pia Dar ana New Habari corporation aliyouziwa na Salva Rweyemamu(mkurugenzi wa habari Ikulu), CDM bila TV, uchaguzi wa 2015 wananchi wachache waliobaki na magamba ya kijani watatapeliwa tena. Tafuteni wafadhili mapema
 
Lowasa ana tv station Arusha!? Sijawahi kuiona!
 
Chadema waanzishe tv ,tumechoka kudandiadandia kwenye station mchwara.

uchwara masaburi yako, unajua maana ya harakati? watu wanajituma kuweka link tusikilize unasema uchara? maku. arusha mambo tupo nyuma yenu kama kawa vua.... vaa... ppppppppiiiipozzzz
 
Back
Top Bottom